Nitasimama na Rais Magufuli

Nitasimama na Rais Magufuli

ELIZAYO LAMU

Member
Joined
May 5, 2020
Posts
11
Reaction score
24
KUMPINGA RAIS JPM NI KUWAKUMBUSHA WATANZANIA MATESO WALIYOPITIA, VITA DHIDI YA UTAWALA WA MAGUFULI NI VITA DHIDI YA MATUMAINI MAPYA YA WATANZANIA.

1. Mtanzania yupi yupo tayari kurejea Tanzania ya watu wachache maalum ambao ni daraja la juu kabisa la mwanadamu ambao Sheria haziwahusu kuua sawa, kuiba sawa, kupiga sawa, kubaka ruksa. Tanzania ambayo Sheria kali zipo kushughulikia wanyonge na masikini wasio na fedha za kuhonga ni mtanzania yupi anaitaka irejee ?

2. Mtanzania yupi anatamani kurudi Tanzania ya walalamishi kuanzia viongozi mpaka wananch yaani Tanzania ya kulalamikia matatizo badala ya kuyatatua yaani waziri wa maji kulalamika hakuna maji, waziri wa Ardhi kulalamika kuhusu migogoro ya Ardhi, Wakurugenzi, MaDC, MaRC na viongozi kulalamika kuhusu changamoto zao ktk maeneo yao ya utawala , nauliza yupo wapi mtanzania anayetamani kuungana na viongozi kulalamikia uhaba wa madawati na madarasa huku rasimali zikituzomea kwa kushindwa kuzitumia nauliza yupo ?

3. Mtanzania wa wapi yupo tayari kurejea Tanzania ambayo cheo ni utajiri ? Tanzania ambayo ukiwa kiongozi mwaka mmoja unakuwa tajiri kuliko kipato chako, Tanzania ambayo ukipata cheo umepata uhalali wa kutumia vyovyote rasimali za taifa kupata utajiri wenye damu za watanzania ? Yupo wapi mtanzania ambaye analilia Tanzania ya pata cheo utajirike ?

4. Mtanzania wa aina gani ambaye analilia Tanzania ambayo mtu akiwa kiongozi ukoo wake wote na marafiki wanatumikiwa yaani Tanzania ambayo mke wa RC, watoto, marafiki na wapambe wake wanakuwa MaRC ? Yupi yupo tayari kurejea enzi za rafiki wa RC kunywa bia bure na kuondoka bila kulipa ukidai unapigwa makofi na kubandikwa kodi za kukufilishi kama yupo mtanzania anayetamani kurejea huko ajitokeze ! Mtanzania ambaye kutoka moyoni mwake anatamani kurudi kule yupo?

5. Yupo wapi mtanzania ambaye amekumbuka enzi zile ukisikia CCM umesikia ufisadi, Rushwa, madawa ya kulevya, ubabe, uonevu, uhuni na Unyanyasaji yupo kweli ambaye analilia kurudi CHAMA CHA MAPINDUZI kuitwa CHAMA CHA MAJAMBAZI yupo? Hata ambaye siyo MwanaCCM anayetamani kurudi huko yupo wapi ? Kwamba ukisikia CCM ni matajiri fulani hivi wezi na wakatili kweli kweli wenye mamlaka ya kufanya lolote yupo wapi anayetamani huko turejee? Mtanzania ambaye CCM ni kundi fulani hivi la waonevu wanaopokezana mamlaka kwa historia ya wazazi na uwezo wa fedha yupo? Nauliza ndugu zangu nani anataka huko tena?

6. Kuna mtanzania sampuli gani ambaye analilia Tanzania ambaye taarifa ya habari ni kusimuliwa ujambazi wa mchana kweupe, madarasa kuungukia watoto kwa uchakavu, tajiri mmoja kumpiga mfanyakazi hadharani na anataka hizo habari tena thubutu ! Kwamba mtanzania timamu kichwani atamani kurudi kwenye habari za maumivu ya watanzania kuliko habari za barabara mpya kuzinduliwa, miradi ya maji, meli, yaani Kwamba kuna mtanzania amechoshwa na habari za miradi mikubwa ambayo haikutarajiwa ? Kwamba yupo mtanzania hapendezwi na habari za watu wa chini kabisa kufikisha mawazo yao na mateso ya kwa kiongozi mkubwa kabisa wa nchi bila kuzuiliwa ? Yupo mtanzania ambaye analilia Tanzania ya kufungia ndani watanzania walioporwa mali zao ili wasimfikie kiongozi kumueleza ? Kuna mtanzania anayetamani watu waendelee kupewa kesi za uongo na kufia jela nauliza yupo mtanzania wa hivyo ?

7. Bado kuna mtanzania anayetamani maisha yale ambayo watu kutoka mataifa fulani wanakuja kuua watanzania wakipigania rasimali zao yaani Tanzania ambayo madini ,gesi na utajiri asilia ukigundulika sehemu ni mateso kwa wenyeji ? Kuna mtanzania anayetamani ujinga huo tena yaani madini wabebe na kipigo juu, gesi wachukue na manyanyaso juu yaani Tanzania ya Wanyama kupanda ndege ? Yaani Tanzania ambayo rasimali zinageuka laana mbaya badala ya neema ? Kwamba ndugu zangu wakurya na wajita wamekumbuka kufa kwa sumu kisa madini tena wakiwa masikini katikati ya madini ? Kwamba Mtwara wanatamani kile kipigo cha gesi ? Kuna mtanzania amemiss ujangili wa waziwazi mchana kweupe ?

8. Mtanzania mjinga kiasi gani ambaye analilia na kutamani Tanzania ya haramu kuwa halali yaani Tanzania ambayo bangi inauzwa kama sigara ? Tanzania ambayo meno ya tembo yanauzwa kiholela kama vyuma chakavu ? Tanzania ambayo gongo inauzwa kwa vibali vya Askari nani anataka huo upumbavu tena? Tanzania ambayo Askari akikamata mvunja Sheria anapokea simu hebu muache mara moja huyo ! Bado watanzania wanatamani huo utahira thubutu ! Kwamba mtanzania timamu kabisa atamani uzezeta wa haramu kuwa halali ?

9. Mtanzania toleo gani hasa ambaye anadhani tumekosea kuondoka kwenye kiongozi kuwa mungu ? Kwamba anadhani ni kosa kubwa kuleta nidhamu kwa viongozi waishi kama watanzania wengine ? Kwamba yupo mtanzania mjinga anatamani magari ya serikali yakeshe bar, Kwamba anatamani tuendelee kuwaona viongozi ni watu fulani wa kuogopa hata Wakifanya makosa wasisemwe ? Tanzania ya kuabudu viongozi kuliko hata Mungu yupi anaitaka ? Mtanzania mjinga mjinga hivi wakulilia kuabudu viongozi ni yupi Kwamba amechoshwa na utamaduni wa kiongozi kuwa mtumishi wa umma kuliko kuwa Mungu mtu mbele ya umma !

10. Mtanzania ambaye maombi yake ni kurejea Tanzania ambayo ofisi za umma ni mali ya watu binafsi kiasi cha kupata huduma kutokana na matakwa ya walio ofisini ? Mtanzania yupi anaitaka irejee ya kumsubiri afisa wa serikali masaa matatu aongee na simu binafsi wananch wakisubiri huduma kwenye benchi na njaa kali ? Kuna mtanzania tahira kiasi cha kutamani ofisi za umma za kuhudumia wadada wazuri na wenye fedha tu mmmh yupo kweli ambaye analilia Tanzania ya kusubiri afisa wa serikali amalize kutongoza ofisini ndiyo atoe huduma kwa wengine walio kwenye foleni? Kwamba mtanzania timamu atake ujinga ile wa kuandaa bahasha kupata huduma halali yake ?

WATANZANIA HATUJASAHAU MAUMIVU SEMA TUMESAMEHE

Watanzania kwa utamaduni wetu na malezi yetu mema hasa ya baba wa taifa Mwl Julius Nyerere na waasisi wa taifa letu hatuna kinyongo wala mioyo ya visasi kwa pamoja tulisema tuache yaliyopita lakini haina maana tunasahau yale madudu.

Kumpinga Rais MAGUFULI ni kuwatonesha watanzania ambao wanaanza kusahu na kusonga mbele.

Watanzania timamu wanatambua vita dhidi ya utawala wa Rais MAGUFULI ni Vita dhidi ya utawala wa kutokomeza mazoea na umwinyi wa kuishi na kudumu ktk vyeo hata baada ya kustaafu.

Watanzania wanajua hapingwi Rais JPM badala yake unapingwa mfumo mpya wa Haki , Usawa sambamba kujikita kwa wananch kuliko genge fulani.

Kitendo cha Rais JPM kuamini ktk wananch kuliko genge fulani lenye kudhani linaweza kuendeleza uovu kisa lilikuwa ktk mkakati wa ushindi wa chama cha mapinduzi CCM ni vita ngumu ya kuiondoa serikali mikononi mwa watu fulani kwenda kwa wananch.

Mimi LAMU ELIZAYO nitasimama na Rais JPM siyo kwa sura yake, kabila lake wala kimo chake nitasimama na Rais JPM kwasababu anapambana vita takatifu ya kuua na kutokomeza utawala wa kihuni.

Mimi LAMU nipo tayari kupambana pamoja na Rais JPM na watanzania wengine wote wenye kuitamani Tanzania aliyokusudia baba wa taifa Mwl Nyerere.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tokomeza wanafiki na wavurugaji wa taifa letu.

Ndimi LAMU ELIZAYO PASCAL KILIMBA
lamuelizayo@gmail.com
+255766033331
+255620770382
 
Aogope nini wakati ameongea kilumumba fc
 
Baada ya kusifu na kuabudu unazungumziaje kupotea kwa Ben Saanane na kupigwa risasi Tundu Lissu?
 
ID mpya wanafunguka balaaa.
Yaani wengine hawaogopi kuweka majina halisi na namba za simu bila kusahau barua pepe.

All in All umeongea mambo mengi ya kweli kabisa.
Nimeona ndefu sana...hebu summarize pls

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Hapo umesema uongo. Malalamiko yapo, lakini nani wakuyasema? Hakuna uhuru wa kujieleza, utayasemea wapi?
Matajiri kwa ajili ya vyeo wapo. Angalia Bashite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh,yote uliyoandika hayana ukweli kwa kiwango hicho!Hivi kumbe nilikuwa naishi Tanzania ambayo no jehanamu kiasi hicho?Mbona sikuwahi kuona hayo uliyotaja kwa kiwango hicho?Mimi naona kwa usalama wa watu hasa wapinzani kwa sasa hali ndio tete,angalia wamepotea,kupigwa risasi au kuuwawa wangapi awamu hii pekee?
JPM hana jipya,Rais mwenye jazba anayejiona anajua kila kitu!Shame!
 
Baada ya kusifu na kuabudu unazungumziaje kupotea kwa Ben Saanane na kupigwa risasi Tundu Lissu?

Happened hata kipindi cha Nyerere

Wewe hauna evidence ni serikali

Anaweza kuwa mtu wa tatu pia
 
Kwa Hali inavyo endelea utajua kabisa tu kua magufuli amesha chukua nch kwa ushind wa asilimia 99%

Kwanza jins anavyo fanya Kaz na matokeo ya kazi zake yameoneka kw watanzania wote masikin matajir

Magufuli kathibitisha kua yeye si kengere inayo muongoza ngombe na kumpeleka asipojua Ila yeye ni mchungaji Bora anae jua wap Kuna malisho mazuri wapi Kuna maji wap Sio hatari kwa wanyama anao wachunga huu umetumika Kama mfano tu sijamwita mtu ngombe Wala rais Sio mchungaj

Kwanini nimesema mchungaj na kengere kwa sababu rais magufuli kawa kiongozi Alie weza kuongoza kwenye matatizo makubwa ya nch Kama haya yanayo endelea kwa asilimia 100%bila kufanya makosa ambayo yangeligarim taifa na mpaka Sasa magufuli kawa rais wetu wa kwanza Dunian kua mfano mzuri na wakuigwa

Kama mnafatilia habari za kila siku bas mtakua mmejua nn kinaendelea kwenye Vita hii ya Corona marekan kavunja team ya upambanaj ya Corona kaunda team ya kufungua nch kachoka kufungia watu ndan na amesema hawezi kutema watu kwa miaka mitano Apo baadae it means uchum utaporomoka marekan wwtaish maisha ya tabu kwa miaka mitano vip Tanzania tukifunga tutaish miaka mingap ya tabu na njaa

Pia ukiangalia wananch wanavyo mchukulia rais na baadh ya maon Yao kwenye page ya vyombo vya habari na kwenye mitandao utaona ni jinsi Gan magufuli anaenda kuchukua nchi kirai sawa na kumsukuma mlevi ukitaka uamin nayo sema nenda kwenye Page zote za taarifa za habari Sio uende CCM Wala chadema Wala kwa mange kimambi hao wote wanao wafatilia ni wanachama wenzao nenda jamiforums.milladayo,voa, BBC,bongo5,clouds,efm,tbc, Yan nenda kwenye Page zozote ambazo haziingilian na siasa ndio mtajua namaanisha nn na mkisema kua Wanao comment uko ni CCM bas msiwe mnalaum kua mnaibiwa Kura CCM ni weng kuwashinda

Pia majiran naona Hali inazid kua ngum Uganda wamesha amua kurudi mitaani

Karibun nyumbu mje kutoa povu Mana nyie mnasomaga kichwa Cha habari alafu unaandika tus. Alafu naipenda jamiforums kuliko mitandao mingine yote sababu najua nyumbu wote wapo umu na viongoz wao Yan hata ukiwapa za mbavu zinawaingia vizuri

, Nyumbu nyie ni watan wangu
 
Back
Top Bottom