nitashinda vipi hii vita?!

Mafweza ze don

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
148
Reaction score
182
heshima kwenu wana jf

mimi nina mpenzi Wangu ninae mpenda sanaa sasa tulikaa muda kama mwenzi mmoja bila kuonana but tulikua tuna chat tu nakuongea kwenye simuu sasa kabla yangu alikua Ana mpenzi

walipo achana ndo akanipa nafasi mimi sasa amerudi tena akaenda direct kwa mama wa huyo bintii then mama Ana mforce kuolewa na huyo binti anamuogopa sana mama yake so ameniambia eti niwe Mume mdogo kwasababu ananipendaa

sasa nilipo kua kimya then nikamwambia aniache akaamua kuja home kabisa sasa alivo kuja akaanza kulia Nola nakusema Ana lazimishwa nika m bembeleza then tukaingia penzinii

baada ya kutoka penzini wakati tunaongea nikawa na mpa maneno ya kumchoma coz anataka kuniacha sasa akisikia hayo maneno anashindwa kuniacha anasema roho inamsutaa

sasa yuko njianii anaenda kwaoo nika mtumia text nikamwambia usikubali kuolewa ukaniacha yeye ananiambia nisiogopee hato kubali lakin moyoni nina hofuu

wakubwa nifanye nini nishinde vita hii coz nampenda sanaa.....
 
mwenye kisu kikali ndo mla nyama. poleee sana ndugu wewe kaa tu tayari kupewa kadi ya mwaliko.
 
Ngoja nikupe Siri!! Na usimwambie mtu! Ukitaka kuoa au Kua na girlfriend usije ukataka kumpata kupitia uahindani! Yaani yeye achague Kua na wewe kwa huruma au vigezo vyovyote iwe pesa au muonekano au hata nafasi! Au umuoe sababu alipata mimba huko mbele ya safari itakukost!!
 
1. Msichana anawapenda wote ila tatizo wewe upo kwenye nafasi kubwa ya kupigwa chini maana msichana anapata backup kutoka kwa familia (mamayake).

2. Kwanini waliachana na huyo binti hapo awali (kama makosa ni ya jamaa, basi endelea kutumia hizo sababu kumkandamiza mpinzaniwako). Hayo ni mapambano! Only the fittest of the fittest shall survive!
 

hapo nimekupata..
 
mliingiaje penzini? Ungemfungia huko huko asitoke.
 
Mwanamke haaaminiki kaka piga 4 4 2 fasta tena azae machapa ukichelewa tu ooooooooooooh
 
1.Booking ulifanya sawa
2.Booking confrimation ulipata toka kwa msichana
3.Payment hukufanya wewe ukarukia stage ya nyingine ya nne
4.Check in, sasa kwa kuwa uliingia katika stage hii ya 4 nne ya check in inayofuata ni stage ya tano ambayo ni
5.Check out

Kama ni baharia sasa jaribu kupindua chombo upepo wa kusi umekuzidi elekea upande mwingine utazama
 
hivi kipindi hiki walioko likizo ni wanachuo au secondary?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…