johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Wasanii siyo kama Lucas Mwashambwa anayepiga Miruzi akiwa maporini huko bali Wasanii huwa kwenye misafara yote ya viongozi wakuu wa vyama na serikali
Wasanii wana uzoefu wa kutosha wa Siasa za Tanzania hasa Siasa za CCM na Chadema
Nategemea 80% ya Wabunge watakaochaguliwa October 2025 watatoka kwenye tasnia ya Maigizo, Nyimbo za Injili, nyimbo za Liza I kipya, Kwaya, Ngojma, Sarakasi, kandanda na Walimbwende akina Wema,Jokate na Basila
Nawatakia Wasanii wote wakiongozwa na Sugu moto Chini na Professor Jay kila la kheri uchaguzini
Ahsanteni sana 🇹🇿