BABAAKUBWA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 120
- 27
Ondoka haraka.Chadema haitishwi na wannafiki wachumia tumbo na vibaraka wa CCM.
weka picha yako ili tuchangie vizuriToka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.
Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, cdm imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge.hata mgombea urais wa cdm dr slaa alimshnda kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!
Ninaipenda chadema kuliko mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila mbowe, slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!
Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya cdm. Inauma kuona cdm imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543
si uende unamtishia nani nyau, chadema ni chama imara sana hakitishwi na mjinga mjinga yeyote,chini ya uongozi wa kamanda mkuu mbowe, hakuna hasiye kijua chadema mkubwa hata mdogo, nasikia zito mwigamba mkumbo,wana harakati za chama kipya nendauko, mtuachie chama chetu na viongozi wetu wa pambanaji, wanao wajibika mpaka magamba wanakosa usingizi, nendeni mkajaribu kwingine sio cdm,Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.
Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, cdm imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge.hata mgombea urais wa cdm dr slaa alimshnda kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!
Ninaipenda chadema kuliko mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila mbowe, slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!
Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya cdm. Inauma kuona cdm imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543
Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.

Huyo ni masalia ya Zitoism ana fikiri cdm inatishiwa nyauweka picha yako ili tuchangie vizuri
ondoka haraka.chadema haitishwi na wannafiki wachumia tumbo na vibaraka wa ccm.
mnafiki ni mm au wewe na akina mbowe wako? Kama analipwa mshahara na chama (uwenyekt wa) ,selikali (ubunge), na bado anapokea pesa za akina rostam, mkono, lowasa, n.k. Kukihujumu chama, uzalendo wake uko wapi? Kiongozi gani ananyamazia matatizo ya wananchi kama vile kupanda kwa bei za usafiri, umeme, n.k? Kiongozi gani wa chama kinachotaka ridhaa ya wananchi kuingia ikulu huku akikaa kimya kuhusu wabunge kujilipa kinyemela 16o milion?
Mtaji wake ni upi kama anapuuza haya? Aibu yenu wahafidhina> hasara yenu kisiasa.
Nitakuunga mkono kama utaniwekea evidence, vinginevyo ni umbea tu!mnafiki ni mm au wewe na akina mbowe wako? Kama analipwa mshahara na chama (uwenyekt wa) ,selikali (ubunge), na bado anapokea pesa za akina rostam, mkono, lowasa, n.k. Kukihujumu chama, uzalendo wake uko wapi? Kiongozi gani ananyamazia matatizo ya wananchi kama vile kupanda kwa bei za usafiri, umeme, n.k? Kiongozi gani wa chama kinachotaka ridhaa ya wananchi kuingia ikulu huku akikaa kimya kuhusu wabunge kujilipa kinyemela 16o milion?