Sijawahi kufika ila wenye kaweusi ndio wako blessed kwenye hicho kipengeleNinasikia wenye misambwamda ni wale mixed race na si wazungu og?
Embu tupe ukweli buana!
Kule Colombia umasikini ni mwingi mno, ndo maana akili yao wote ni kuzamia Marekani. Lakini miji yao imejengeka sana tofauti na huku Bongo. Kaka ukifika Bogota jifanye huuji english ukiongea tu wanazani wewe ni wa Marekani, utaandamwa balaa. Rio de jainero (mto wa Januari) pale sio tu wahuni bali ni wahuni kwelikweli, huku Bongo vijana wanaotembeza bidhaa barabani kwenye magari kule ni wengi mno, ila ukifungua kioo imekula kwako wanakupora chochote na polisi hata hawajaliMedellin kwa kina Pablo! Sasa utaongea lugha gani na wewe unajua Kiswahili na Kiingereza tu. Ila Sao Paulo nasikia kuna uhalifu sana kama South Africa.
Vipi huko umasikini ni kama huku Bongo!?
Sisi tuliambia hapa tumeletwa tu kutalii na hatukala, kaka wenyeji wenyewe wanasema hii ni eneo hatari kuwa mpole, hawana shida na wageni, lakini sio sehemu ya kujiachia. Ila kule nimejifunza sisi wastaarabu mnoMedellin, huu mji ukifuatilia unaonekana una watemi sana...nimetazama baadhi ya reality shows na documentaries zinaonesha kitaa kuna watu wamepinda...
Kaka sio propanganda, wenyeji wetu walituambia kabisa sehemu ya kwenda na sehemu ambayo htutakiwi kwenda. Kule kuna wahuni kwelikweli. Ila wanaiabudu sana MarekaniVipi yale magenge ya wahuni yapo kweli au ni propaganda tu? Maana nchi hiyo inasifika kwa mihadarati
Dah!👅 vipi life la kitaa ukienda kulowea huko ukajichanganya.Wote wako hivyo, wale sio wazungu kama wa Ulaya na Marekani ni kama mixa hivi, maana wana mashepu balaa, ila ni walevi mno
Duu ukiwa unaenda unishtue Mana Shakira alitaka kunifanya nijifunze Spanish ujue kwa influence take tuShakira anakaa mitaa gani nataka niende huko
Ubaguzi sio kihivyo, lakini kule sio seheu ya kutafuta maisha, labda Brazil maana kuna mishe nyingi na weusi ni wengi sana hivyo unaweza kujichanganya, lakini lazima ujifunze kireno lugha yao itakusaidia zaidiDah!👅 vipi life la kitaa ukienda kulowea huko ukajichanganya.
Mambo ya kipato na vipi upendo na ubaguzi vipoje.
So ulikuwa unapiga mapicha mno. Night club ambayo ulienda kujiachia. Uje urudipo Tena ndugu Mana maisha NiTulifikishwa kwa kuona tu, muda ulikuwa umetubana, ila ni fukwe kubwa sana na watu ni wengi mno