Wasalaam wana MMU..! Kwa
siku za hivi karibuni nimekuwa nikiongezeka uzito kiasi, hiyo ni baada
ya kuwa "mbavu mbili" hivyo nilianza kufakamia misosi ila "kitumbo"
kinanichukiza, hivyo naomba mnishauri aina ya mazoezi ninayoweza
kujifanyia mwenyewe bila kwenda "gym"..natanguliza shukrani
Fanya sit ups kila siku unapoamka angalau 20 kabla hujaenda kuoga. Then epuka kula vyakula vyenye mafuta sana. Kula zaidi mboga mboga, mtunda na maji mengi. Angalau lita tatu za maji. Punguza vyakula vyenye wanga pia.
aksante mkuu, much respect kwa ushauri!
haa, haa MO11, uko wapi huko kwenye njaa wakati tz ni "inji" ya asali na maziwa, au uko mogadishu!
samsung focus
KAMPUNI NI AT&T hapo sina haja ya kujielezea sana.
inuwezo mkubwa wa mitandao yoote sijui whatsapp,twitter sijui nn na nn.
Simu haiitaji niseme ni orijino kampuni ndio hiyo simu ya kimarekani.
hali yake iko poa, memorycard 2GB, cable yake na chaja yake.
b
BEI =180,000 HAIPUNGUI SIMU YA UKWELI SANA EMBU ANGALIA HIZO PC ZAKE.
USED 3 MONTHS
0712 58 31 57
0755077940
0689554438