Nitapataje pesa kupitia account ya youtube?

Nitapataje pesa kupitia account ya youtube?

prince dudu

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
109
Reaction score
77
Wana jf naomba nipewe maelekezo Hapa kidogo me nimefungua account YouTube Sasa nataka nipate mkwanja kupitia channel yangu nafanyaje?
 
Fanya kazi ufikishe 1,000 subscribers na 4,000 view hours per year hapo ndo utaruhusiwa kuanza kutengeneza hela kupitia YouTube moja kwa moja "Partner" kama content yako inakisgi masharti na vigezo.
 
Back
Top Bottom