Ndugu zangu, nina uhakika na ninachozungumza. Nimepanda PW hivi karibuni na ilitua Tabora (Nimeambatanisha ticket). Precision huwa inaenda Kigoma (kupitia Tabora) kila Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili. ATC pia ratiba zake ni hivyo hivyo ila sina hakika kama inatua Tabora na haipo reliable sana.