Unanunua feki au kifaa chako kinaharibu card somehow, haiwezekani card 8 zikaharibika. Rangi ya card haina maana yoyote.
Unanunua feki au kifaa chako kinaharibu card somehow, haiwezekani card 8 zikaharibika. Rangi ya card haina maana yoyote.
.
Umedanganya umma.....
Acha fikra za kipumbavu
bado unaamin uchawi upo?
.hivi rangi ya memory card inaongeza au kupunguza nini?
wazo kama lako linaweza kutoka kwa watu wawili
1.mtu asiye jua jinsi hivi vitu vinavyo Fanya kazi
2. kwa mganga wa kienyeji
naotea namba 2 inahusika hapa kwako.
.
We unadhani zile black ni insparation?
.
KINDA WEIRD
.
.
Bado unaamini uchawi
.
KINDA HOLLA
Ivi memory card zinaweza kuharibu simu?
Miaka kama miwili iliyopita mi na jamaa yangu tulinunua memory card dodoma zote zilikuwa 4Gb cha ajabu alivyoweka kwenye samsung galaxy ace ile simu ilizimika jumla na alipopeleka kwa fundi akaambiwa memorycard. Mimi nikaweka kwenye htc, ile kuweka tu simu ika hang app zote. Ila nilipoitoa na kuweka ya mwanzo ikawa fresh. Mpaka sasa sijaelewa how memory card zinaweza haribu simu