Zamani ilikuwa simple, siku hizi Kuna ugumu.Habari ndugu zangu,
Naomba mnisaidie kwa mkazi wa morogoro kupata tips za nafasi ya kazi katika viwandani,kwa aiyeoko morogoro na anajua nafasi zinapatikani anijuze
At least watu wa Moro mmetoa mwanga, Kuna wengne wapo dar Kila siku watu wakiomba michongo ni wanakutana na vitu vya ajabu ajabu... Hii nimeipendaUpo sehem gan, nenda pale chekelen kabla ya kufika mikese ukiwa unatokea mjin,kuna kiwanda cha nafaka kina rangi ya blue na nyeupe kinaitwa Mahashree onana na HR umueleze hiyo ishu, ila upitie mlango wa nyuma ndo mtaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bado kufikia umri wa watu wazima kwani?, kiswahili kilichotumika ni ila unapitia mlango wa nyuma ndiyo mtaelewana, andaa hela ya maji ya kunywa ila, ila utamlinda. Hiyo misemo imeshajitosheleza harafu unauliza polister wanapokea watu kwani? ukitaka kujua kama wanapokea subiri wakitoa matangazo ya nafasi za kazipolister wanapokea watu asv
Zaman nlkuwa siamin connections ila nowadays naziamin 100%Wewe bado kufikia umri wa watu wazima kwani?, kiswahili kilichotumika ni ila unapitia mlango wa nyuma ndiyo mtaelewana, andaa hela ya maji ya kunywa ila, ila utamlinda. Hiyo misemo imeshajitosheleza harafu unauliza polister wanapokea watu kwani? ukitaka kujua kama wanapokea subiri wakitoa matangazo ya nafasi za kazi
anaefahamu kwa ssa? anyone?Jaman kwa anayejua nafasi za kazi viwandani tusaidieni mkoani Morogoro plz