Nitapataje incubator inayotumia mafuta ya taa?

Nitapataje incubator inayotumia mafuta ya taa?

aziraji

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
57
Reaction score
8
Natafuta incubator inayotumia mafuta ya taa ambae anajua jinsi ninavyoweza kuipata naomba msaada wake
 
Tena ukijibiwa nakuomba uweke wazi na mie ninaihitaji hata kama ni ya umeme
 
Natafuta incubator inayotumia mafuta ya taa ambae anajua jinsi ninavyoweza kuipata naomba msaada wake

IMG-20180511-WA0029.jpg

Kwenye hiyo attachment chini kuna namba za mtaalam wa kutengeneza hivyo vifaa hebu jaribu kumuulizia anaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom