nitapata???!!?

hana pesa za kum2nza mtoto ndo mana anatafuta m2 amsaidie...we mwanamke 2lia na huyo mtoto umlee..tamaa gani za namna hyo..
 
hellow jf memberz, wazima? Am just looking for a man who knows how to love! Any man pls?! Am 25...

Pamoja na haya

hellow everybody! Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuwa humu, so naombeni mnipokee,! Mimi ni msichana wa miaka 25,nimemaliza chuo kikuu mwaka jana. Tatizo nililonalo ni kwamba,nilipata boyfriend,ambaye tulipendana sana kufikia hatua ya mimi kubeba ujauzito nashkuru mungu nimejifungua salama mwez wa2, issue kubwa ni kwamba,jamaa kanisusia mtoto kisa,hajapenda jina nililompa mtoto! And so far, hatujaoana! Ila tulikua na plans hizo. Mimi nipo kwe2 dar na yeye anaishi nje ya mkoa akiendelea na mambo yake. Bynow,hatak mawasiliano yoyote na mimi,haulizi hata mtoto wake anaendeleaje! Amekua akintolea maneno ya kashfa and all that stuffs!jamani,au mimi ndiye mkosaji? And its nt that i ddnt tel him b4,nilimwambia! Lkn ni kigeugeu sana! Jamani nifanyeje?should i leave hm alone and live my own life?trully ameniharibu psychologically! Sidhani kama ntakuja kupenda tena maishani! Plz help me...

Nafikiri bado una nafasi nzuri baada ya hili

jf ni mambo yote! Tangu nimejiunga humu ndani ya jf sitamani kutoka hata siku moja! Ninaweza kuwa bored,lkn nikiinga jf najikuta nafuraha ya ajabu and i find myself forgeting wat happened like najikuta hasira zinaisha zenyewe! Wadau wote wako poa sana,hawanyimi msaada kwa m2 ukiwa na shida ingawa kupata madongo ni kitu cha kawaida..! It brings more utam na msisimko! I really appreciate being here! Sasa nimeshasahau mambo ya facebook,twiter! Jf ni rahaaaa! Kip it up guys...

Nakushauri uje uweke mustakabali wako hapa vizuri.

Wapo ambao watajitokeza ikiwa utakuwa mkweli, kwa maana ya Kuweka historia wazi, kama vile Elimu yako, Dini yako, na Idadi ya watoto ulionao.

Nyangiez, unapenda upate mtu wa kukupenda. Ni ndoto ya kila mtu aliyekamilika. Hivyo basi uwanja ni wako kuwaondoa wana JF wasiwasi kwamba wewe ni mtu wa namna gani

Nakutakia Masters njema na matunzo mema ya mtoto
 
una pepo la ngono, nenda loliondo upate kikombe!, mwezi wa 2 umejifungua mwezi wa 4 unataka mpenzi tena tofauti na baba mtoto!, huo ni umalaya dada! Shindwa na ulegee!
 
Huwa tunasahau sawa lakini hii ndani ya miezi miwili tu halafu mtu una mtoto wa miezi mitatu ambaye inapaswa uwekeze akili na nguvu zako kumlea halafu leo mtu unaanza mchakato wa kupata mtu hata Katiba yenyewe mchakato wake unapelekwa spidi lakini si kama ya huyu.

The Finest signature yako hapo mwishoni kama unaniita...lol..
:focus:Nafikiri huyo dada anatafuta mtu wa kumpiga tafu malezi maana mh! huo muda kusahau nakuwa na hamu na jamaa mwengine wakti as far as I know kipindi hiki ungekuwa huna hata wazo la r/ship mpya kwanza na uconcentrate na ulezi wa mwanao. By the way, jamaa kakupotezea shauri ya jina tu jamani, mh, kwa nini msingezungumza jina la dogo likabadilishwa analotaka yeye, mkaka mkalea mwanenu. Kwani jina ni nini jamani. Au jamaa alikuwa na yake akakutafutia sababu.
 
Mh!!we mdada kiboko
mtoto ana miezi mingapi vilee?
afu unapata wapi muda wa kudate upya?
yani kipindi kifupi hicho ushasahau mambo mazuri yoooote ulofanya na huyo baba watoto,duu!!
au ndo desparation tenaa..

hahah umenikumbusha kitu
nilikuwa na rafiki she waz 25 by then akawa desparate anataka kuolewa, matokeo yake kaolewa na mtu hampendi
sasa hivi anasema looh 'mume wangu mfupii sikuwa nikipenda wanaume wafupi'

Haya mamaa kila la heri..ila wanaume dont know how to love..waulize watakwambia
 
utapata mwaya ila labda awe understanding,kwa culture yetu akikuona una mtoto mdogo unalea anakupotezea tu,afu huu mtindo wa kufukunyua maposti ya mtu na kuyaleta hapa ushaaanza kuchusha!!!:A S 2152:
 
The Finest signature yako hapo mwishoni kama unaniita...lol..
:focus:Nafikiri huyo dada anatafuta mtu wa kumpiga tafu malezi maana mh! huo muda kusahau nakuwa na hamu na jamaa mwengine wakti as far as I know kipindi hiki ungekuwa huna hata wazo la r/ship mpya kwanza na uconcentrate na ulezi wa mwanao. By the way, jamaa kakupotezea shauri ya jina tu jamani, mh, kwa nini msingezungumza jina la dogo likabadilishwa analotaka yeye, mkaka mkalea mwanenu. Kwani jina ni nini jamani. Au jamaa alikuwa na yake akakutafutia sababu.
Lol Wee Mkare, dah mimi sielewi hata hii movie inaenda vipi maana kuna muingiliano wa mambo mengi inakuwa ngumu sana sijui labda mwenzetu moyo wake mgumu
 
Lol Wee Mkare, dah mimi sielewi hata hii movie inaenda vipi maana kuna muingiliano wa mambo mengi inakuwa ngumu sana sijui labda mwenzetu moyo wake mgumu

Yaani... Ila sometimes yaweza kuwa ni frustrations so akadhani kutafuta m/mme mwengine haraka ndio itakuwa solution ya kumsahau yule na kumbe ndio anacomplicate mambo.
 
Yaani... Ila sometimes yaweza kuwa ni frustrations so akadhani kutafuta m/mme mwengine haraka ndio itakuwa solution ya kumsahau yule na kumbe ndio anacomplicate mambo.
Mkare inawezekana nayo ikawa moja ya sababu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom