Habari zenu wataalamu. Nilikuwa naulizia kama kuna mtu yeyote mwenye idea kuhusu upatikanaji wa Windows 8 Build 8400, Kwa kuwa nime-google mpaka sasa ila sikufanikiwa kuipata hiyo version ya windows. Nimevisit microsoft lakini sasa wameshaondoa Download link ya Build 8400 na wameweka ya Windows 8 build 9200. Yeyote mwenye idea, Kama ana link ya torrent, Nitashukuru kwa msaada wa kimawazo. Mimi ni mtumiaji wa 32 bit