Nitapata wapi viagra ini boost?

Kila jamambo na wakati wake jamani ulikuwa na 5 per nit sasa ivi tatu ...... natabiri kadili siku zinavyozidi kwenda mbele utajikuta una uwezo wa 0.5 per nit.shukuru Mungu ulianza ukiwa juu yaani tano wnzio wanaanza hata hiyo 1 inakuwaga issue.
Alafu tano za kuku ama? kama ni za kuku mwambie shem ya kuwa umeimprove
 
Kama ni tatizo sugu mwone Dr. anayehusika na mambo ya uzazi atakusidia, ila kama kama unatafuta kupiga show ndefu aaaaah tumia ujuzi wa kawaida tu na utamridhisha mkeo vizuri tu.
 
Jipe muda wa kutosha pumzika vizuri ondoa stress, punguza vilevi, ondoa mashaka kwa mwenzi wako, punguzeni kufanyana mtachokana haraka, badilisheni mandhari na style, si lazima kila Siku Nyumbani chumbani kifo cha mende...jifunze art of sex, love utafaidi ndoa yako
Achana na viagra, kama akili haiko tayari hata ngoma isimame vipi you won't enjoy anything sawa na kumlala changudoa
 

Uzee mbaya jamani acheni tu itafika wakati K unaiwekea tu mkono....kifanyio kwishney...bao 5 mpaka zero. Looh Naogopa kweli
 

Hahahaaaaa basi jamaa kadhani ugojwa... K haifanyiwi ligi....!!5 per nite cpati picha
 
ha ha ha wewe unapiga ngapi?a huste follower experience a sudden fall
 
Tembelea jioni jioni mitaa ya feri au manzese au ilala upate supu ya pweza mujaraab ule wa km buku tano na zaidi itapata mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…