Nitapata wapi viagra ini boost?

Hahaha...hivi ni kweli hujui eenh?



mie mzima kabisa...hofu na mashaka kwako weye!!!

nilikuwa sijuikweli ila hizo picha zako zimenifanya nijue zaidi

sijui mwekundu bado ataendelea kuitafuta hiyo Viagra
 
Last edited by a moderator:
Anajimudu mkeo......3 analalamika.Unachokitafuta hakitakufanya upige 5 bali zitakuwa zinakuchelewesha hata kupata la 1.
 
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!
halafu eti waifu wake haridhikagi na bao tatu...kupiga bao nyingi wataalamu wanasema haina maana kuwa mwanamke ataridhika.
Wengine hawafikagi hata ufanyaje,ila kwakua mkewe anakua anadai more aweza kuwa nypho
 
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda
Mnyaa ?siujui aisee sasa ikichomoka ikawa kubwa hata kwenye suruali haikai itakuaje?nitarudi tena kwako unipe maelekezo jinsi ya kuirudisha?doctor bujibuji?
 

Hello,sikushauri kutumia VIAGRA coz in future hutaweza hata kupata izo bao tatu za sasa.Dawa izo ni hamu ya muda tu lakini baadae zinachosha mishipa ya mgegedo.Kuna dawa ya mitishamba ninayo,ambayo inagenerate hormone na kukurudisha katika hali yako ya kawaida 4rever.Kama uko interested mimi napatikana Urafiki quarters.0754 856277
 
yaani haya MAMOTO YOTE niliyonayo ,sijui kama kuna siku nitahitaji viagra
 
Angalia "quality" braza sio "quantity".
Unaweza piga gori 10 kumbe zote una mwaga kama kuku tu,sekunde 10 ushashusha mzigo.

Unaweza enda 2 au 1 lakini za/ya 30 min which is enough for her and good for your health.

Tafta sifa za kijinga sasa. Be economical,bao moja hata 40min,hamna kuchezea chezea mbegu hovyo.
 
halafu eti waifu wake haridhikagi na bao tatu...kupiga bao nyingi wataalamu wanasema haina maana kuwa mwanamke ataridhika.
Wengine hawafikagi hata ufanyaje,ila kwakua mkewe anakua anadai more aweza kuwa nypho
Lol, huyo wife wake na jamaa naye ni kiboko, mme wa kawaida hawezi kummudu mke kama huyu! Kisa cha kunikondesha kwa kukukatia mauno kiasi hicho?
 
Viagra ya utomvu wa minyaa ni nomaaaa

Mkuu Bujibuji, umenifanya nikumbukie enzi zetu za utoto ambapo tulikuwa tunatengeneza magari (toys) kwa kutumia mabox na kuunganishia na utomvu wa minyaa. Sasa kwa hiyo shughuli uliyoitaja hapa unafanyaje?
 


una umri gani ?
una matatizo yoyote ya kiafya?
mke wako umeishi naye pamoja kwa muda gani?

ila mkuu hivyo vitatu kwa wengine mbona vianaweza kutufikisha asubuhi mpaka mwanamke akawa hana hamu tena ya kusuguliwa , wewe inakuwaje unamwaga mwaga hovyo hovyo?
 
ha ha ha 25yrs,mkuu usishangae mazoea hujenga tabia si unajua mbwa ukiwa unamlea nyama kila siku,siku ukileta dagaa hali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…