Nitapata wapi viagra ini boost?

Mtafute MziziMkavu maana aliwahi kuapa haya huko siku za "nyuma"!

hii inakuaje mkuu hembu nitolee basi ufafanuzi baba mwenye nyumba,naumbuka mwenzio
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda
 
Mwambie mkeo aache kutumia viagra za kike(hehehehe. Najua hazipo) magoli matatu bado anakuletea ugomvi? Itakuwa alizoea migegedo mingi kabla hujamuoa.
 
haya Mkuu kila la heri katika utafutaji wa VIAGRA
 
Anajimudu mkeo......3 analalamika.Unachokitafuta hakitakufanya upige 5 bali zitakuwa zinakuchelewesha hata kupata la 1.
 
unaenda na kikopo kwenye mnyaa, kisha unaponda kidogo mnyaa.
Utomvu ukianza kutitirika unaukinga kwenye kopo lako.
Ukifika home, unapaka kwenye gobore lako, asubuhi, mchana na jioni.
Baada ya siku tatu omba gemu, kisha uje utupe ushuhuda

Utaua mtu wewe, íle si itakuwa zaidi ya tindikali!??
 
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…