Nitapata wapi sheer butter

Nitapata wapi sheer butter

molwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
422
Reaction score
452
Kwa anaefahamu mtu anaeuza hayo mafuta hapo juu naomba anisaidie mawasiliano nae, huku mkoani hakuna kabisaa!!
 
Kwa anaefahamu mtu anaeuza hayo mafuta hapo juu naomba anisaidie mawasiliano nae, huku mkoani hakuna kabisaa!!

Kama hautapata hadi mid March niambie. Niliko yanapatikana sana.
 
Ungesema upo mkoa gani huenda yapo ila hujui chocho gani.

by the way, muagize mtu kutoka Dar yapo mengi sana.
 
Kwa anaefahamu mtu anaeuza hayo mafuta hapo juu naomba anisaidie mawasiliano nae, huku mkoani hakuna kabisaa!!
d46c7d9ace33e240c84bb2dce55b119a.jpg
karibu mi nauza nko Arusha ila ujasema uko wapi
 
Mimi nahitaji yale orijino yanatumika sana Afrika magharibi, ni mazito yanakuwa kama mafuta ya mgando sio lotion. Niko Dodoma
 
Back
Top Bottom