Nitapata wapi PC Programm itakayoweza kufanya kazi hii ?

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
645
Reaction score
501
Natafuta program ya computer, ambayo ipo hv:


INAKUWA NA COLUMN/ROW KM TATU AU ZAIDI.

KATIKA HIZO COLUMN/ROW NAWEZA KU APPLOAD PICHA NYINGI WALAU NNE.

NA COLUMN/ROW ZINGINE NAWEZA KUANDIKA MANENO KWA NAMNA NINAVYOONA INAFAA.

IWE PIA NA UWEZO WA SEARCHING; ILI KM KUNA NENO AMA MANENO NATAKA KUYA SEARCH KWENYE
MOJAWAPO YA COLUMN AMA ROW NIWEZE KU SEARCH KIRAHISI SANA.

Nipo dsm.

Karibuni!!


UPDATES:

KITU KAMA HIKI KWA MFANO:

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]humu naweka picha zangu mbalimbali japo lazima ziwe za kitu kimoja. Let say gari ama nyumba
[/TD]
[TD]humu naweka details za picha
[/TD]
[TD]humu naweka naandika chochote nikitakacho
[/TD]
[TD]humu naandika chochote nikitakacho
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]km above
[/TD]
[TD]km above
[/TD]
[TD]km above
[/TD]
[TD]km above
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]nk
[/TD]
[TD]nk
[/TD]
[TD]nk
[/TD]
[TD]nk
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]km above
[/TD]
[TD]km above
[/TD]
[TD]km above
[/TD]
[TD]km above
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Huu hapo juu ni mfano tu; lkn ni mfano wa 99 percent


CC:
 

Mbona hamtokei nyie watalaam wetu tuliowapa dhamana ya IT????!!!
Au mnataka sasa niache kuwatetea mahakamani, nianze kufanya kazi za IT???

Njooni basi!
 
@MaishaPesa Nadhani maelezo yako hayaeleweki, nani anakua ana upload hizo picha+? where do you want the pictures to be uploaded to? dhumuni hasa la hiyo program ni kufanya kitu gani (ie, once your pictures plus information have been uploaded then what?)
 
Maelezo hayajitoshelezi kabisa!
 
mi nina idea

kwenye pc una uwezo wa kusplit screen yani ukarun program 3 kwa mpigo zikaonekana.

hivyo unaweza run program tatu tofauti.
1. program ya kwanza ni browser ambayo kuna website hio ya ku upload pic
2. program nyengine ni ms office utaandika hadi uchoke na kusearch maneno just bonyeza ctrl+f

kwa requirement zako 2 zinatosha ila hata 3 unaweza
 
huhu una maanisha editor au..?
 
 

Unataka photo manager/editor au kitu gani?

Lengo hasa ni kufanya biashara au kazi gani?

Toa context ya business yako then itakuwa rahisi kukupa solution ya hizo requirements zako.
 
Nasikitika table niliyochora haijatoka.Bu hayo maneno nimeyaweka kwenye table
 
Nasikitika table niliyochora haijatoka.Bu hayo maneno nimeyaweka kwenye table

hata baada ya ku update hujaeleweka. hebu eleza kwa uwazi zaidi unataka kufanya nini? biashara? au unataka kujaza informaton kwa wakati mmoja huku unaangalia table.
really ,,,,, tunataka ku help. lakini tunashindwa. huko mahakamani wanakuelewa kweli??
 
MaishaPesa mimi nahisi nimekuelewa na nnaweza kutengeza program kama hiyo. Lakini haina haja ya kutumia grid (column/row) haita leta mvuto. Ngoja niangalie kama naweza kuiweka hapa muda si mrefu.
 
MaishaPesa mimi nahisi nimekuelewa na nnaweza kutengeza program kama hiyo. Lakini haina haja ya kutumia grid (column/row) haita leta mvuto. Ngoja niangalie kama naweza kuiweka hapa muda si mrefu.

Nakusikilizia.......ukiwa tayari ni mention plz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…