Nitapata wapi Nyimbo za Kaptain Komba

Rozinna

Member
Joined
May 22, 2014
Posts
10
Reaction score
3
Habarini, naomba kujuwa wapi naweza pata nyimbo za capt Komba au ToT.

Nimetafuta youtube bila mafanikio yeyote.

Asante
 
Madukani zinapatikana za kumwaga
 
Jamaa alisema anaingia msituni, nahsi atakuwa ameenda na mzgo wote huko.
 
Habarini ndugu zangu.
Nawaomba mwenye nyimbo za Mh Captain Komba ya mp3 au video nitashukuru sana wana ndugu.
Asante
 
Ukipata nistue mkuu hasa ile ya"sasa kumekucha jogoo limewika chimwaga"ujue hapo lowassa atakua kashapewa kijiti
 
hebu tuondolee uchuro hapa mshaona uchaguzi serikali za mitaa umekaribia ndio mnataka kuanza kutupigia kelele na minyimbo yenu ya kishetani, nenda kawaulize lumumba buku 7 wakupe jibu.

Utakuwa umerogwa wewe
 
nikiupata ule wa "kina dada tien(tieni), na wazee tieni(tieni),tieni tieni tienii kwa moyo mmojaaaa!!!nambari wani eeee,nambari wani ni...... wimbo unanikumbusha mbali sana ule...naweza upataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…