sasa ng'ombe wa iringa na hali ya hewa ya huku kwetu inakuwaje,naomba tuwasiliane maana na mimi natokea iringa ila nimewaza hali ya hewa ya huku na iringa wataweza kumudu jamani?njoo Iringa, kuna Wazungu kutoka nchi za Zimbabwe na South , ila bei yao iko Juu. bidhaa kama pipi za Ivory maziwa yake yanatoka kwa hao wazungu, mmoja wao anaitwa Philips- ila kama nilvyosema hapo juu, bei zao ni kubwa
Mkuu bei ni shilingi ngapi kwa jike ambalo halijazaa?njoo Iringa, kuna Wazungu kutoka nchi za Zimbabwe na South , ila bei yao iko Juu. bidhaa kama pipi za Ivory maziwa yake yanatoka kwa hao wazungu, mmoja wao anaitwa Philips- ila kama nilvyosema hapo juu, bei zao ni kubwa
Mtu wa Iringa unauliza utapata wapi ng'ombe wa kisasa? Asas, Philips, kwenu hapo iniho kuna shamba la kitulo, kuna wazungu wengine jirani na njombe some where ( ludodolelo)sasa ng'ombe wa iringa na hali ya hewa ya huku kwetu inakuwaje,naomba tuwasiliane maana na mimi natokea iringa ila nimewaza hali ya hewa ya huku na iringa wataweza kumudu jamani?
sijaandika bei sababu sina uhakika, ila nadhani ni Zaidi ya 2milion, na huyo mzungu huwa anatembelea mtu aliyenunua ngombe kwake, akiona humtunzi vizuri anakurudishia pesa yako ! ila google, mfano kuna shamba linaitwa Ndoto Farma nalo la mzungu wa maziwa , GOOGLEMkuu bei ni shilingi ngapi kwa jike ambalo halijazaa?
Hvyo vyuo vya mifugo ni wapi jamani mimi sivifahamu or may be kama ningepata namba zao za simu ingekuwa vizuri zaidiNilikuwa natafuta ng'ombe wa maziwa pia. Nikabahatika kutembelea kwenye mabanda ya mifugo nane nane Dodoma mwaka huu. Ng'ombe wazuri wanapatikana kwenye vyuo vya mifugo nchi nzima. Waliniambia nikitaka ng'ombe wa maziwa wanakuuzia ng'ombe mwenye mimba ya miezi nane kwa bei ya TSH 1,800,000. Ng'ombe wao wana uwezo wa kutoa litre 24 kwa siku za maziwa.
ahsante nitatembelea hukoKama upo kibaha nenda sua utapata ng'ombe wazuri tu
Nilikuwa natafuta ng'ombe wa maziwa pia. Nikabahatika kutembelea kwenye mabanda ya mifugo nane nane Dodoma mwaka huu. Ng'ombe wazuri wanapatikana kwenye vyuo vya mifugo nchi nzima. Waliniambia nikitaka ng'ombe wa maziwa wanakuuzia ng'ombe mwenye mimba ya miezi nane kwa bei ya TSH 1,800,000. Ng'ombe wao wana uwezo wa kutoa litre 24 kwa siku za maziwa.
Huku kwetu litre 1 inauzwa buku 1, kwa litre hizo kwa siku unakunja elfu 24 kibindoni toa elfu 4 kama gharama za uendeshaji kama vile kumlipa kijana, unabakiwa na 20,000×30=600,000/=bado ndama akikua unamuuza, kumbe Umasikini tunautaka sisi wenyewe.Nilikuwa natafuta ng'ombe wa maziwa pia. Nikabahatika kutembelea kwenye mabanda ya mifugo nane nane Dodoma mwaka huu. Ng'ombe wazuri wanapatikana kwenye vyuo vya mifugo nchi nzima. Waliniambia nikitaka ng'ombe wa maziwa wanakuuzia ng'ombe mwenye mimba ya miezi nane kwa bei ya TSH 1,800,000. Ng'ombe wao wana uwezo wa kutoa litre 24 kwa siku za maziwa.
Shukrani mkuu nitaperuzisijaandika bei sababu sina uhakika, ila nadhani ni Zaidi ya 2milion, na huyo mzungu huwa anatembelea mtu aliyenunua ngombe kwake, akiona humtunzi vizuri anakurudishia pesa yako ! ila google, mfano kuna shamba linaitwa Ndoto Farma nalo la mzungu wa maziwa , GOOGLE
mkuu hao ng'ombe huwezi tumia garama ya buku 4 Kwa siku tambua hivyo maana ww ulichukuwa lazima apunguze maziwa maana huwezi mtunza kama alivyokuwa anatunzwa have ukoHuku kwetu litre 1 inauzwa buku 1, kwa litre hizo kwa siku unakunja elfu 24 kibindoni toa elfu 4 kama gharama za uendeshaji kama vile kumlipa kijana, unabakiwa na 20,000×30=600,000/=bado ndama akikua unamuuza, kumbe Umasikini tunautaka sisi wenyewe.
Huku nilipo maziwa bei ni 1600 - 2000 kwa litre na demand inazidi kuongezekaHuku kwetu litre 1 inauzwa buku 1, kwa litre hizo kwa siku unakunja elfu 24 kibindoni toa elfu 4 kama gharama za uendeshaji kama vile kumlipa kijana, unabakiwa na 20,000×30=600,000/=bado ndama akikua unamuuza, kumbe Umasikini tunautaka sisi wenyewe.
Huku nilipo maziwa bei ni 1600 - 2000 kwa litre na demand inazidi kuongezeka
wapi huko mkuu ni dsm hii au wapi?Huku nilipo maziwa bei ni 1600 - 2000 kwa litre na demand inazidi kuongezeka
Wanakamuliwa mpaka 30lts20 lts kwa siku utadanganywa
Kwamba hawapo ng’ombe wa hivi!?20 lts kwa siku utadanganywa
Ng'ombe awauzi mkuu direct hadi uandike Barua kwa katibu mkuu na usubir majibu kama wana ziada ya kuuza au hapana mm nimeandika Barua tangu 2017 adi Leo kimya.INAUMIZA SANA HATA KAMA UNA PESA LAKN NG'OMBE HAWAUZI SIJUI LINI TUTAACHANA NA NG'OMBE WA KIENYEJI IKIWA SERIKALI HAIFANYI JITIHADA ZOZOTE KUWAWEZESHA MASKININilikuwa natafuta ng'ombe wa maziwa pia. Nikabahatika kutembelea kwenye mabanda ya mifugo nane nane Dodoma mwaka huu. Ng'ombe wazuri wanapatikana kwenye vyuo vya mifugo nchi nzima. Waliniambia nikitaka ng'ombe wa maziwa wanakuuzia ng'ombe mwenye mimba ya miezi nane kwa bei ya TSH 1,800,000. Ng'ombe wao wana uwezo wa kutoa litre 24 kwa siku za maziwa.
Mkuu nimesikitika sana maana nilihamasika kutafuta hawa Ng'ombe,bado safari ni ndefu.Ng'ombe awauzi mkuu direct hadi uandike Barua kwa katibu mkuu na usubir majibu kama wana ziada ya kuuza au hapana mm nimeandika Barua tangu 2017 adi Leo kimya.INAUMIZA SANA HATA KAMA UNA PESA LAKN NG'OMBE HAWAUZI SIJUI LINI TUTAACHANA NA NG'OMBE WA KIENYEJI IKIWA SERIKALI HAIFANYI JITIHADA ZOZOTE KUWAWEZESHA MASKINI