Nasikia Dar Zoo wana ng'ombe wanawauza , unaweza enda fuatilia huko maana kama upo Dar hali ya hewa haitokuwa challenge tofauti na umpate ng'ombe wa kitulo.
Pia kuna watu pale ubungo maziwa kuna kipindi walikuwa wanauza hao ng'ombe jaribu kutafuta thread humu ya miaka mitatu na zaidi nyuma ilizungumzia..
Pia arusha maeneo ya tengeru au kwa mzee mmoja maarufu mzee urio anao ng'ombe.
Wacheki pia jkt ruvu, kibaha pia.
Serikalini tatizo mlolongo ni mrefu ingawa last month baada ya kuwatembelea shamba lao la mabuki mwanza walisema wameboresha huduma.
Otherwise check my pm kwa maelekezo na mawasiliano zaidi.
Sent using
Jamii Forums mobile app