Nitapata wapi mkopo wa vitu vya ndani?

Ushauri usikope kama maingizo yako hayawezi kuulipa huo mkopo kwakujinafasi

Do not get a loan when your cash flow is weak
 
Mkeo anafatilia movie zilizotafsiriwa??
Hapana, wala sio mtu wa TV sana. Tatizo watu wameelewa vibaya, mke ana mtoto mdogo so muda wote anashinda nyumbani, sasa imagine umekaa ndani tu hamna jiko/friji(kupikapika),hamna TV, unaboreka sana ndio maana ameomba aende nyumbani kupoteza muda kidogo maana nimemwambia nataka kununua vyote kwa mara moja. Sasa kila mtu hapa maona anatoa povu kuhusu mke wakati sio lengo kuu la huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…