Nitapata wapi mashine ya kufuma nembo za Shule?

uwemba1

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
987
717
Ninafikiria kuanza biashara ya kufuma nembo za shule. Ninaomba anaejua Ile mashine ya kufuma inauzwaje na wapi nawezapata anisaidie
 
Nenda Kkoo kwa mhindi mmoja anaitwa Katri lakini bei ni juiu sana kati ya Mil 6 hadi 8 kama sikosei
 
Ninafikiria kuanza biashara ya kufuma nembo za shule. Ninaomba anaejua Ile mashine ya kufuma inauzwaje na wapi nawezapata anisaidie
Fika mnazi mmoja nyosha na uhuru road hadi mnara wa saa ulizia kay LMT bei rahisi sana.
Km huwezi fika nitafute nikupeleke.
 
Back
Top Bottom