Ndugu zangu.. najaribu tuu kuangalia kama kuna uwezekano wa kukodi gari kwa matumizi binafsi yaani self drive kwa muda wa mwezi mmoja. Naweza pata wapi na itakuwa kiasi gani kwa siku??? Bila shaka humu sintokosa atakayekuwa anajua.
Du ya nini? tuwasiliane na uniambie unabebea nini? na utaenda Ubalozi gani, au Ikulu lazima nijue route
unaweza beba mke wangu
unaweza beba Bomu
unaweza enda jigonga katika msafara (km Dube wa Morogoro)