Nitapata wapi electric dot pen?

Ni kama hizo ina sehemu ya kuchomeka power kwa juu yake kitu kinashake tayari kwa stippling
 
Habari wakuu?

Natafuta kitu kinachoitwa electric dot pen au dot pen.

Wapi naweza kupata pen za namna hizi?
Nenda Masumin Stationary, i oncebought there, au unaweza watafuta mtandaoni ukawauliza kama wanazo, am sure they have
 
Mmmmh! Na vimiaka vyangu vya kuku sijawahi kusikia hichi kidude
Ni nzuri sana, inarahisisha kazi huchoki, stippling inakula sana muda kwa kuweka milions of dots kwenye karatasi kutengeneza image, sasa hii electric pen imerahisishwa kuondoa hizo sumbufu kwa mtumiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…