K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 764 May 11, 2011 #1 jamani wanajanvi nisaidieni niweze kuwa mwanachama wa CDM arusha wapi nijiandikishe na nitapata wapi card za uanachama?
jamani wanajanvi nisaidieni niweze kuwa mwanachama wa CDM arusha wapi nijiandikishe na nitapata wapi card za uanachama?
N ngurati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 221 Reaction score 240 May 11, 2011 #2 nenda namvua plaza karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani jengo liko opposite na jengo la vyoo vya kulipia. Ghorofa ya mwisho juu kabisa ulizizia ofisi ya chadema. karibu kwenye chama makini. uhuru wa kweli ukombozi wa kweli
nenda namvua plaza karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani jengo liko opposite na jengo la vyoo vya kulipia. Ghorofa ya mwisho juu kabisa ulizizia ofisi ya chadema. karibu kwenye chama makini. uhuru wa kweli ukombozi wa kweli