Wadau natumia Alcatel tajwa hapo juu. Battery yake ni ya 1500mAh. Je naweza kupata battery yenye mAh kubwa kuanzia 2000 na kuendelea? Maana ya kwangu nikiwasha internet hata saa 12 haziishi. Ila nisipowasha internet na nisipochat kwa sms inakaa siku 1 na nusu.
Nawasilisha