tophertofali Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Dec 20, 2014 #1 Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo.
Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo.
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 Dec 20, 2014 #2 Ebu tafuta humu jamvini utampata anayehusika na biashara hii. Jamaa alipost thread kuwa anatengeneza hayo madudu na samaki wake pia!
Ebu tafuta humu jamvini utampata anayehusika na biashara hii. Jamaa alipost thread kuwa anatengeneza hayo madudu na samaki wake pia!
Gor JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 2,791 Reaction score 850 Dec 22, 2014 #3 tophertofali said: Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo. Click to expand... ..wasiliana nami kwa matengenezo ya aquarium ya kisasa... 0717 288306
tophertofali said: Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo. Click to expand... ..wasiliana nami kwa matengenezo ya aquarium ya kisasa... 0717 288306
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,016 Dec 22, 2014 #4 tophertofali said: Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo. Click to expand... Ukitaka pump ya kusafisha maji kwa aquarium yako, wasiliana nami,
tophertofali said: Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo. Click to expand... Ukitaka pump ya kusafisha maji kwa aquarium yako, wasiliana nami,
ceekay JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 413 Reaction score 156 Dec 22, 2014 #5 Hebu wasiliana na hawa jamaa wako Morogoro Attachments 1419256065438.jpg 49 KB · Views: 80