Mke mwema anatoka kwa bwana sio jf. Ila jf yaweza kuwa njia ya kukutanisha nae,,,akili kumkichwa. Mwenye masikio na asikie
Mke mwema anatoka kwa bwana sio jf. Ila jf yaweza kuwa njia ya kukutanisha nae,,,akili kumkichwa. Mwenye masikio na asikie
nimesikia kabisa bila chenga........ila kuna kigezo kimoja hapo ndio kimeniangusha.........
Mzima weye? Babu yako Baba V kapigwa ban
hapo kwenye RED ndo wanafanyaje? ni kwamba unamwomba tu Bwana akuletee nyumbani au unamwomba Bwana huku unatafuta akuonyeshe yupi ni bora kwako?kwani wa kwanza ulimpataje? maana unasema unahitaji mcha Mungu,mkristo nilifikiri ungetumia maelekezo ya kikristo neno lisemavyo "......mali na.......mtu hupewa na wazazi mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"...."nitakutafutia msaidizi wa kufanana nawe" ni hiari yako kujitafutia mwenyewe au na member wa jf? au umuombe Bwana ambaye anakuwazia mema siku zote akupe mke atakayekufaa.
Ukiwa free niambie nikutoe lunch
Nimekuwa na mpenzi wangu kisha kuwa wachumba kwa muda wa miaka 7 wakati tupo kwenye mchakato wa ndoa alifariki ghafla kwa ajari,niliskitika sana na ilinichukua muda kufikilia kuoa,sasa ni mwaka wa tatu tangu kifo chake.Roho kiasi imetulia natafuta mke mwema wa kuoa.
Awe mcha Mungu Mkristo
awe anajua kuchanganua mambo-msomi kiasi kuanzia diploma na kuendelea
Awe mpenda maendeleo.
mwenyenia hiyo aweza kujitokeza tuanze mchakato wa maisha ya pamoja kama tukiridhiana.
hapo kwenye RED ndo wanafanyaje? ni kwamba unamwomba tu Bwana akuletee nyumbani au unamwomba Bwana huku unatafuta akuonyeshe yupi ni bora kwako?
haya maandiko wakati mwingine tunayazungumza bila kuyaelewa.
All the best BIREGU, katika tafuta yako mwombe na Mungu akufunulie