Nitapambana na mhe Godbless Lema 2015


Kama una nia ya dhati si ungetaja jina lako na kuwela picha kabisa nashangaa unatoa tamko huku ukiwa umejificha ni nini hasa unaogopa?
 
Hilo jimbo litarudi ccm, piga ua garagaza. Hutaki unaacha
Acha usngizi wa maluelue kwani wakufanya waota ndoto za alinacha,ndoto za maruerue ambazo ni heri ya ndoto za mchana.Mara hii ushasahau kipigo cha 4-bila???Mwee!!!
 
Kama una nia ya dhati si ungetaja jina lako na kuwela picha kabisa nashangaa unatoa tamko huku ukiwa umejificha ni nini hasa unaogopa?

nadhani utaridhika. Jina langu ni hilo hilo
 

Mbona uliamua kujibinua mimi nimekuweka sawa.
 
Kwi kwi kwiiiiiiiii! Nilifikiri mtoa mada unatania kumbe umepania hahahahahaaaaaaaaaah! Yani hauna tofauti na mtu anayefikiri kuwa HILUX (pick up) ikikua inazuka FUSO.Mimi ndg yako labda nikusaidie tu maana usije ukapoteza muda na nguvu nyingi kutetea hoja yako hii,Kwa jinsi Lema alivyokubalika kwa wapiga kura wake wa Arusha mjini hadi kufikia hivi sasa hana mpinzani iwe ndani au nje ya CDM.Pamoja na kuwa hadi kufikia hapa ushajivua sifa ya kuwa mwanachama mtiifu kwa kukiuka taratibu za ndani za chama lkn bila kupepesa macho na kutafuna maneno nikuonye tu kuwa LEMA si size yako na kikubwa hapa nakushauri ukajifunze HADABU.
 
"unity?"

sidhani kama unatambua vema ni nini maana ya neno unity. Hapa hakuna confusion kwani confusion inakuja pale tunapoacha kuteteana na kukipigania chama! Hapo ndipo unity ina disappear,

unity ku disappear huanza hivi hivi, mabishano madogo madogo kama unayoyaleta....kwa pretext za kifalsafa ilhali wajua wapiga kura wako wengi pale arusha ni mambumbumbu hawatakuelewa wanamwona mhuni wao kuwa bonge la mbuge. ..............anyway...goodluck
 
MWANAWAVITTO kwanza unaonekana kichaa zaidi ya Lema, psychologically disperated. Nakushauri uongeze kula 'MAJANI' ili ufikie ukichaa wa mwenzako Godbless Lema.
 
Last edited by a moderator:
Lema kapambana na arusha imemkubali nakuomba utupe ata nafasi uliyowahi kushika katika huongozi wowote
 
Mimi nakubali ugombee maana ni haki yako....
Lakini kwa sababu unatafuta kuutumiki umma ni vyema ukaja kwa ID yenye jina lako kamili!
Huna haja ya akujificha!
 
Mtoa mada hasitupasue vichwa kwani yeye ni GAMBA anatafuta buku 7 ya chai
 
Arusha ni Lema na Lema ni Arusha kwa sasa nadhan hata CCM hawatasimamisha mtu 2015 sababu ya Lema. Nakushauri sogea Arumeru magharibi tukuchuje kwanza.
 
Lema kapambana na arusha imemkubali nakuomba utupe ata nafasi uliyowahi kushika katika huongozi wowote

Kwanza tumpongeze kwa kuonyesha nia ya kupambana na jabali! Lema kabla alishika wadhifa gani tusipende kuuliza mtu alichofanya wakati lema anakubalika wakati kabla hakuwa historia kubwa

Muacheni atumie haki yake kikatiba apate uzoefu wa kupambana na jabali japo nina uhakika hakuna wakumtoa Lema Arusha si nje wala ndani ya CHADEMA.
 

ninaamini katika kushinda sikuzote, sijawahi kushindwa kwani I HAVE POWER,
 


huo ni mtazamo tu!

Nguvu ya LEMA inatoka kwa watu, mmoja wapo ni mimi,

"BELIEF CREATES THE ACTUAL FACT"
 
Tunakukaribisha kama ulivyosema wewe ni mpiganaji ili ukafanye ukombozi kama wewe ni jembe jimbo la Arumeru Magharibi ambayo nayo iko mjini Arusha na makazi yako yatabaki jijini tu, au nenda Monduli nako siyo mbali na jijini Arusha, utakuwa na support kubwa ya wana Arusha. Sioni kwa nini ung'ang'anie Arusha mjini wakati Arumeru ni Arusha mjini au unakereka kumwona Lema akiwachachafya CCM kwa hiyo unataka kumwondoa. Kama utakubaliana na ushauri wangu nitakuona sawa ila kama bado unataka Arusha mjini una lako jambo na si kamanda mwenzetu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…