Nitaoa uzeeni

Nitawashauri kama mzazi.....

Sihitaji waolewe na matajiri ila na wanaume wachapakazi, wenye vision na mision.... wawajibikaji na nawaombea wapate wanaume wenye adabu, kujali, heshima na upendo wa dhati.

Na sio walete wanaume hawaeleweki nikaishia kulea wajukuu.... badala ya kupunguza matatizo unaongezewa matatizo. Ulee mtoto, ulee mjukuu mwisho wa siju utalea baba mtoto nehi nehi nehi..



Sipati picha binti zako wakiposwa na malofa...utakavyokuwa..mama mkwe kisirani
 


ushauri ni hadi wakuelewe....dushelele ikiwakolea hawakusikii
 

Hizo zote ulizotaja ni sifa zangu...Tafadhali nikabidhi binti yako..
 
Heri umekuwa mkweli ndani ya nafsi yako maana mwanamme anatakiwa kuoa baada ya ujana kuisha yaani uzee unapoingia. Tatizo vijana wanaoa wangali bado vijana. Ndio maana ndoa zao hazidumu (bado wanasumbuliwa na matamanio).

Hapo ndio unataka kupigwa chini na uzee wako, sijui utaoa mpaka lini maana kama ni picha ni THE END kidogo tu mchelemchele kwa sie tulioangalia mikanda ya enzi hizo yaani umri umekwenda alafu unaharibu mrembo anasepa na huna hata photocopy yako (ndio unabaki kumbeleleza mpaka unalamba kinyesi chake arudi maana kuanzisha mahusiano mapya mpaka kumpata yule anaestahili kuweka ndani ni issue), au unadhan kuwa na mume au mke ni sawa na kuchuma kisamvu ambacho unakikuta tayari kimekomaa na kukichuma? vinginevyo kila mtu angekuwa na mke au mume kama ni hivyo
 
kula ujana mpka ujute kwanini ulipita kwako, full uhuru... kuoa si lazima, ila kuishi ndio lazima,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…