Nitaoa uzeeni

na wewe usifikiri kila aliepo hapa jamvini anajiuza mi nina thamani kubwa sana pesa uliyonayo changanya na za ukoo wako bado hazitoshi sawa eeeeh

Kwani suala la kujiuza limeanzia wapi? Hakuna liyesema kuwa unajiuza, mimi nimeuliza maswali kutegemea na majibu ya Heaven on Earth. Sema wewe umedandia train kwa mbele. Anyway samahani kama hivyo ndo ulivyonielewa.
 
Last edited by a moderator:

hahaha ulipotaka nikutajie bei ulitaka kununua nini
 
Last edited by a moderator:
hahaha ulipotaka nikutajie bei ulitaka kununua nini

Rejea jibu la Heaven on Earth "pata pesa, then explanation baadae" followed na comment yako "anataka kukusumbua wakati hana hela" So, mimi nilitaka mnieleze mnataka bei gani ndo mtoe maelezo. Upo hapo....
 
Last edited by a moderator:
Yamenishinda ndugu zanguni hata Kama majuto uzeeni na yawe kwani ujana Ndo huu hit and run
 
Rejea jibu la Heaven on Earth "pata pesa, then explanation baadae" followed na comment yako "anataka kukusumbua wakati hana hela" So, mimi nilitaka mnieleze mnataka bei gani ndo mtoe maelezo. Upo hapo....

ohoooops uliniacha faya haina mbaya namwachia heaven msalaba wake lol sorry for missunderstanding
 
Last edited by a moderator:
Kweli kwa sasa wanawake ni changamoto, nitaoa uzeeni niacheni nile ujana nimechoka.......
Hahahahaaa welcome to the club ya kula ujana, hureeeee kuoa/ kuolewa kitugani. Mwenzio mi nshazoea kuitwa popo lakini nakula ujana. Keep urself young and enjoy buddy, kesho uje kwenye apartments nikupe kadi ya wala ujana. Happy to add a member
Hureeeee
 
Itabidi nikutafute niwe member wa popooo
 
uzeeni utakuwa na kisukari na ndio utawapata wengi coz wanajua hautakuwa na miaka mingi ya kuishi
 
uzeeni utakuwa na kisukari na ndio utawapata wengi coz wanajua hautakuwa na miaka mingi ya kuishi
Bora ya mbili bila kukesha kuliko sifuri ya kukesha library dada zangu msipobadilika hatutaoa tena abadani
 
Hakuna relation isiyokuwa na matatizo..... Bt unatakiwa uwe faster ku bounce
 
Hakuna relation isiyokuwa na matatizo..... Bt unatakiwa uwe faster ku bounce

Kwa kweli mmezidi dada zangu ule msemo wa every successful man behind stand a woman,this time every failure man reason is a woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…