Nitaoa uzeeni

Kweli kwa sasa wanawake ni changamoto, nitaoa uzeeni niacheni nile ujana nimechoka.......
Hakuna unachokwepa! Wanawake hao hao ambao mmojawapo utamuoa ukishakuwa mzee nao wanasema 'wataolewa uzeeni', ngoja wale ujana kwanza! Ngoma droo!
 
Unahesabu kuanzia wapi? Tangu umevunja ungo, umemaliza std seven, A-level, Collage, tangu ulivokutana na mpenzi wako wa kwanza, au tangu umejifungua mtoto wako wa mwisho......!? Fafanua tafadhali.

pata pesa then explanation zote utapata.
 
Ukioa uzeeni hakikisha una hela bila hivo utaula wa chuya au kuolea wengne
 
Swala siyo ninazo ngapi, wewe sema bei yako ngapi? Unajua nyie madem wa hapa mnafikiri kila aliyepo hapa jamvini bado anamaisha ya kuungaunga. Usimdharau usiemjua.

na wewe usifikiri kila aliepo hapa jamvini anajiuza mi nina thamani kubwa sana pesa uliyonayo changanya na za ukoo wako bado hazitoshi sawa eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…