Elections 2010 Nitamwekea pingamizi Kikwete

Wasiliana na Mtikila nasikia na yeye ana mpango kama wako hasa suala la Afya ya Kikwete. Nakubaliana na wewe kuhusu afya yake, ni rahisi kuthibitisha afya ya mwili ila ya akili itakuwa ngumu utathibitishaje kuwa akili yake si timamu.
 
Nashukuru kwa tips hizo, hasa idea ya kwamba Mtikila ana wazo linalofanana na hilo. Kuhusu afya ya akili ushahidi wake ni ahadi zisizo na mwelekeo wa kutimilika.
 
Kweli mwaka huu vichaa wengi tutawaona hasa hapa jamvini!Hauko peke yako,mpo wengi tunasubiri uchaguzi upite tuwapeleke Mirembe kwa matibabu,hatuwezi kuwaacha mkitaabika kwa aibu mitaani huku mkipiga kelele ovyo kama mavuvuzela!

Sasa hapa kichaa ni nani kama sio wewe?Wenzio wenye busara na akili timamu tumeelewa na kuafiki wazo la mtoa hoja.

Hukulazimishwa kuafikiana nae.Ungekuwa na akili timamu ungepingana nae kwa hoja badala ya kutumia lugha ya ******.Sio kosa lako kwa vile maji hufuata mkono.Kama ilivyo kwa JK na matatizo ya akili ndivyo ilivyo kwa sapota wake kama wewe.Birds of same feather.

Wakati Likolo anawasiliana na wanasheria kujaribu kumdhibiti huyo mkwere mwenye ugonjwa wa akili,ni vema nawe ukawasiliana na wataalam wa magonjwa ya akili ili kudhibiti matatizo yako yasije kufikia hatua ya kudondoka ovyo hadharani.So far,maneno yako yanadondoka ovyo,next would be mwili mzima kama JK.

POLE!
 
Ndugu Lukolo Nakupongeza sana.

Wazo zuri sana. Inabidi wazo lako ulisambaze kwa watu wengi sana ili upate support. Lipeleke kwenye media za magazeti fulani fulani.

Shida kubwa hapa ni wazazi wetu kule kijijini, hawaelewi madhara ya ufisadi na ccm. Imenibidi niwatishie kuwa wakichagua ccm sitakanyaga huko kijijini na hata hela ya sukari sitawapa.

Wao ndo wanashida na ndo wao wanachagua ccm.

Jamani watu wa vijijini wanatuangusha japo sio wote.

Kuna baadhi ya watu wa vijijini wanajua ubaya wa ccm. Pia kuna watu wa mjini bado wanakumbatia ccm.
 
Mkuu Mpadimire, siyo wa kijijini tu, hata wa mijini wana shida kubwa sana. Ukitaka angalia idadi ya wabunge kutoka vyama vya upinzani. Utagundua kwamba Dar es salaam pamoja na kuwa kwake jiji haikuwa na mbunge hata mmoja wa upinzani. Hili ndilo linalowapa kiburi sana CCM.

Sasa tunataka kutangaza mapambano. Hata kama upinzani utashindwa, basi angalau ushindi wa kishindo kwa CCM usiwepo.
Wakati wao wanampeleka Slaa mahakamani sisi nasi tutasimama kidete kumtaka Kikwete asiendelee kugombea Urais. Kwa kuwa mahakama ni ya CCM na bila shaka haitatoa haki kwetu, basi nguvu ya wananchi itaamua. Tutaandaa maandamano nchi nzima kumpinga mgombea wa CCM.
Sipendi kusema sana kwa sasa, nasubiri wanasheria wachambue vigezo nilivyowapelekea vya kumwekea pingamizi mgombea wa CCM. Kama vitakuwa vina mantiki kisheria basi tarajieni makubwa. Kama vikiwa havikidhi basi, tutatafuta namna nyingine, lakini hakuna nafasi ya mtu kwenda ikulu kwa dezo mwaka huu.
Stay tuned.
 
======
Ndugu Lukolo

Tuache utani, you have a good case to make ukipata wanasheria wazuri, kwa sababu ku-prove Kikwete insanity in very simple.
Kumbe kipengele kizuri cha katiba kinachoeleza endapo Rais atashindwa kuendelea kufanya kazi zake... na pia Rais sharti awe na akili timamu.

Kuanguka mara tatu mbele ya watu ni uthibitisho kuwa kuna kitu kwenye central nervous system na kwa hiyo black out zinaweza kutokea wakati anasaini documents muhimu za nchi.

Actually kuna wengi hata ndani ya CCM watakuunga mkono. Volunteer lawyers wako wengi.

Najua atawaita majaji kama alivyomwita Tendwa juzi Ikulu kumshinikiza asisikilize pingamizi la chadema, lakini this trime it will be difficult kufanya hivyo kwa sababu majaji ni 3.
 
Kumbu kumbu za mchungaji ni mara nne!
 
Back
Top Bottom