No pesa ndogo, Naomba busara zako nishauri mbinu zipi nizitumie niachane nae bila madhara, yeye hataki kuwepowepo. Anaforce tufanye marriage.Ulilikoroga utalinywa, kwanin uchezee hisia za binti wa watu. Ushauri wangu uendelee kuwepo nae si unasema bado upo upo
mwambi ukweli tu humtaki...unaweza uporomoshewe matusi au kipigo lkn si mbaya kwa siku moja lol...Ukitaka cha mvunguni shurti uiname....
mkipendwa..oohhh anakaba mpaka penalt
msipopendwa...oohh..wanawake wa siku hizi hawana mapenzi ya kweli!
sijui wanaume wengine mkoje
Siwapendi watu wanaochezea hisia za wenzao!
Ujifunze cku nyingine usimjaribu mtu ktk mpnz. Pia huyo dada analazimisha au hajui ktk mpnz ni all about feelings na sio kulazimisha. Mwambie umeshaoa.Basi katika pitapita zangu si nikakaona binti flani mtaani, nikamtamani nikamtokea, akanikubalia mahusiano yakaanza. ukweli ni kwamba bado niponipo sanaa afu hata mipango hiyo sina. Sasa yeye si ndo anashikia bango. yaani anakabaje! Sasa kila nikijaribu kumfanyia cheating ili aniache wapi. badala yake hunambia "una roho yangu wewe". haka kausemi afu ukizingatia ni wa kulekule uheheni kananifanya ninywee,
Hebu nisaidieni wadau njia ipi niitume kujinasua na binti huyu?