Nitamsahau vipi X wangu?

Kuna mtu,yupo,tayari,kunioa,na anajua nina,mtoto ila mi simpendi kabisa,sina hisia nae,na moyo unakataa,kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hakikisha unatia kabari zote za huyo umpendae! Jaribu nafasi nyengine hata usiende kumuomba msamaha ila hakikisha msamaha anautoa kwa kupenda na sio kuombwa!!

Wewe ni mtoto wa kike unajua udhaifu wa sie wanaume na vilevile unamjua vilivyo x wako!.. hakikisha unamuonyesha unampenda kwa vitendo piga mizengwe ya maana fanya visa vizuri mbele yake!.

Babaika juu yake mkumbushe maneno matamu kwa hisia kali, mkumbushe visa vyenu vizuri kwa maneno matamu!
 
Mapenz ni hisia sio kushow,off tu na mi nimeolew na mtu nisiempenda ndoa,ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"......Nikisikia sauti yake nikishakata siim roho inauma natamani tuendelee kuongea tu najisikia raha sana."

Maskini nimekuonea huruma sana,
Jitahidi kupunguza mawasiliano nae taratibu utamsahau bila hivyo utateseka sana mwishoe upate depression.
 
Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu,yupo,tayari,kunioa,na anajua nina,mtoto ila mi simpendi kabisa,sina hisia nae,na moyo unakataa,kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe muda, muda ndio muamuzi wa kila kitu. Wakati umejipa muda, hebu hamisha focus na uanze kujiangalia wewe kwanza. Jipende kwanza wewe halafu mengine yatatiririka mahali pake. Katika kujipenda wewe uta attract watu walio sahihi maishani mwako, utajua kuwa unastahili kilicho bora.
Kama sitakua sahihi utanisahihisha, nadhani upo kwenye toxic relationship.
 
Kwa maelezo yako na ulivyosema kuachana nae ni ngumu bado unampenda /mnapendana tafuta muda msuluhishe. Ukienda Kwa huyo mwingine utaenda kimwili tu lkn akili/hisia zako zitakuwa Kwa baba wa mtoto. Jipe muda kwanza jihakikishie kuwa kweli hakuhitaji/hamhitajiani. Baada ya hapo kama kweli hakuhitaji Jipe muda kufikiria ombi la huyo mwanaume mwingine
 
Kawaida tu hiyo mzee...! Kikubwa vumilia tu kuna wanawake/wanaume ukikutana nao kukutoka akili ngum mnoo ila tu inategemeana mliishi vip. Mm pia ipo hivyo kuna bi mdada sasa n miaka mi3 tangu tutengane ila hua nnamkumbuka japo nipo kwa mahusiano mengine n yy pia naamin yupo kwenye mahusiano. Naamin ni muda tu ukifika nitamsahau n ww utamsahau huyo x wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu,yupo,tayari,kunioa,na anajua nina,mtoto ila mi simpendi kabisa,sina hisia nae,na moyo unakataa,kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utoto. Unasubiri umpende mwanaume ili iweje? Muigize movie ya kihindi? Olewa ulee mwanao huyo baby daddy hapo keshamaliza au unasubiri akualike kwenye harusi yake? Utaishi kama bitter single mother huku kila mwezi anampa mkewe laki moja akutumie ya matumizi.

Narudia acha ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keep yourself occupied punguza kuongea naye maana utapata tabu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…