Nitampata wapi?

Nitampata wapi?

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,261
Habari wakuu humu,

Hapa nilipo najilaumu nimempoteza njiwa wangu, na hata sijui nifanyeje. Sikufanya KYP (know your partner) ya kutosha. Salalee.

Ishu ni hivi, kuna manzi (msichana/bint) tumefahamiana zaidi ya mwezi na nusu hivi na tumekua tunadate.

Sasa tangu jana usiku kapotea online. Whatasapp simpati, simu yake haipatikani. Kwao sikujui, alinielekeza mahali akipokua anakaa zamani tu na anapofanya kazi. Worse enough huo mtaa wa kazini kwao unanichanganya hata sijui nifanyeje.

Sababu kubwa ya kutopata muda wa kuinteract na huyo habiby wangu ni kubanwa na majukum tu ya kazi. Natumia muda mwingi kazini na sana sana hupumzika Jumapili tu.

Nimeweka hapa kisa hiki ili iwe funzo kwa wengine pia wakati nasubiri idea zenu nichukue hatua gani. Yeye anajua ninapofanyia kazi.
Wadau nifanyeje, msinitusi lakini.

I stand to be corrected.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom