msalimie mwambie naumwa tena sbb ya kummiss sijui nguo zake wameziloweka tena!yaani hommie wako ananiweka roho juu kweli,sili silali namuwaza tuuu!
Kamata hiyo hapo kwenye red, thenMwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.
Nitampata wapi huyu bibiye.
Studio unaenda lini?Nguli kiukweli umetokaa na mpya verse
Binti wa sifa zote hizo kumpata ni kasheshe
Mmoja kumpata sita sifa zimempwaya
Hakuna wa kuingia pasipo kasoro wala kiporo
Nimeamasika kusaka urembo si mchezo
Mkamate mwenye pungufu tatu kasoro
Kila mmoja kapata nusu na hakuna mwenye kamili
Kiongozi umeamua kuwa dalali wa waifu wangu siyo?Kamata hiyo hapo kwenye red, then
kama hana mvuto, peleka salon
kama hana umbo la kibantu tumia mchina
kama hajui kuimba mwambia aanze kuimba kwaya kanisani
kama hapendi watoto, mpeleke kijijini kwa miezi miwili
kama hana ngozi nyororo mnunulie vaseline katoni moja.
hahahahahahahahstudio unaenda lini?
Kiongozi umeamua kuwa dalali wa waifu wangu siyo?
I will be back.
safari hii nilikuwa kibiti mpenzi, tigo naona haijafika huko ningekucheki,😀
mimi hapa sasa.....nasikia kuna vijana walipita kuomba maji ya kunywa?😕
Tatizo ndio linaanzia hapo sasa.hommie madalali s wanakulaga 10% ya bei?
Hommie hajawahi kunitilia mashaka, so usijali. Huo wimbo kwa hommie unapoteza muda bure. Labda huu...................mpenzi wangu nashukuru wamekuachia urudi nyumbani,yaani tokea uondoke sijala ki2 nashindia maji 2.ukiendelea hivi huu mwili utaisha kwa mawazo.
mpenzi wangu umesahau kuwa mi situmii tigo hivyo hata ungepiga ungesikia tu..da namba ur calin iz not richebo..
ni kweli kuna vijana fulani walipita hapa kuomba maji halafu nikawaomba wanisaidie kutengeneza kitanda kililegea mguu.hivyo ukisikia kuna vijana nilikua nao chumbani usinielewe vibaya.
mpenzi wangu nakukaribisha kwa wimbo wa miondoko ya kwetu uitwao subalkheri mpenzi..waonaje hali yako....enjoy.
mpenzi wangu nashukuru wamekuachia urudi nyumbani,yaani tokea uondoke sijala ki2 nashindia maji 2.ukiendelea hivi huu mwili utaisha kwa mawazo.
mpenzi wangu umesahau kuwa mi situmii tigo hivyo hata ungepiga ungesikia tu..da namba ur calin iz not richebo..
ni kweli kuna vijana fulani walipita hapa kuomba maji halafu nikawaomba wanisaidie kutengeneza kitanda kililegea mguu.hivyo ukisikia kuna vijana nilikua nao chumbani usinielewe vibaya.
mpenzi wangu nakukaribisha kwa wimbo wa miondoko ya kwetu uitwao subalkheri mpenzi..waonaje hali yako....enjoy.
Tatizo ndio linaanzia hapo sasa.
Hommie leo mabaamedi wamegoma?
Hommie hajawahi kunitilia mashaka, so usijali. Huo wimbo kwa hommie unapoteza muda bure. Labda huu...................
Aramba aramba tenaaa.......... ammmmm ammmmm!
mi hapo tu,
hali yangu kama yako
nalimiss pendo lako!😀
halafu nilivo mwelewe, nitakuelewaje vibaya na wewe wanielewa ivyo mpenzi.,
tanga line is here to stay🙄
Fasta Fasta Kiongozi. Watatucheka watu.hapo pana husu..ngoja ni do ze nidiful....
Fundi ni fundi hommie. Kama ilivo Fita ni Fita Mura!hommie nilidhani wewe fundi bomba kumbe na useremala pia?
hommie madalali s wanakulaga 10% ya bei?[/QUOTE]
kakague kaka!
Tafadhali, itifaki izingatiwe.kakague kaka!
hommie madalali s wanakulaga 10% ya bei?[/QUOTE]
kakague kaka!
tatizo hommie xpin anasoma mno katikati ya mistari kisha anaanza wivu sasa
bora leo anywe za mchana walau atapata akili
Hommie unazeeka vibaya.
The needful unachelewa ujue? LOLZ!
Usisahau am veeeeeery very thirsty!tatizo hommie xpin anasoma mno katikati ya mistari kisha anaanza wivu sasa
bora leo anywe za mchana walau atapata akili