Mimi ni Samson, Namtafuta mdada yeyote anaeitwa Delila..
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vipi tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson.kama ni ww ni pm
hahahaha sidhani kama unamaanisha delila wa Bible maana ukimpata huyo lazma akuuze kwa wafilist, unyolewe nywele na wakung'oe macho shauri zako. otherwise badili hilo jina