sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Mm na wapangaji wenzangu tumekuwa tukiiibiwa sana yaani ukienda dukani bila kufunga mlango unaibiwa, tena mwizi hata akikuta laptop na simu ataacha laptop atachukua simu
Mkuu kuna mengi nyuma yakeYaani umeibiwa ki-tablet unakuja kuanzisha uzi siku ukiamka bila kalio moja itakuwaje??empty set
Kila mtu ananunua kitu ambacho hanaBadala ya kununua tabu-leta nenda kanunue kiwanja ujenge uhamie kwako
Duh mkuuMwizi mko nae ndani, tena ni mwanamke
hahaha mie mwenyewe namshangaaYaani umeibiwa ki-tablet unakuja kuanzisha uzi siku ukiamka bila kalio moja itakuwaje??empty set
Basi endelea kupanga hapo Tandale wanaume waendelee kukufanya main store uje kulalama kama bintiKila mtu ananunua kitu ambacho hana
Una uhuru wa kuandika chochote, Kwan lazima ukoment kama imekukera c upotezeeBasi endelea kupanga hapo Tandale wanaume waendelee kukufanya main store uje kulalama kama binti
Kwa ushauri huu sasa asipomkamataMkuu muwekee mwizi wako mtego....ficha simu ikiwa inarecord kwenye manguo...then weka mtego wa kitu cha thamani kwenye meza na uhakikishe watu unaowahisia wanajua hicho kitu kipo kwenye meza then jifanye umepata safari ya ghafla ya kwenda town... baadae ukirudi pitia video zako zilizorekodiwa.