Nitamani turudiane tena

ndo wale wale, mule mule,,,, usjidangany et bahat nzuri huna HIV!! rudi upime baada ya miez 3 kwa vpmo tofautitofauti ndo uje ujisifu,,,,, waache wenzio wasogeze maisha we endelea na wasio ridhiki kama wewe.
 
Watanzania hatuna sense of humour, na hatuelewi sarcasm.
 
Bora wewe umeamua kuachana na hadithi za wavulana.Kwao wao kupenda na kupendwa wanaona ni vitu vya kutuletea wanaume tujadili.
 
Mke uliyekuwa unamtafuta Umemkosa umeamua kurudia uliowaona matapishi bro!???
 
Bro chukua mtto uyo na uoe kabisa kuliko kuacha aolewe na mwingine kisha ukawa unachepuka nae, unafkiri aliyeoa atakufkiliaje akijua kua unakula mkewe?? na akikufuma unajua atakufanyaje?
Hv inauzito gani kuvunja uchumba?
 
niachoona hapa,,, huyo ex wako hana msimamo, wewe ni kimeo,,, coz akija kwako tabia yako iko palepale sbb ww unatumia udhaifu wake kwako kama kinga,,, nakushauri achana na binti aende na maisha yake....
 
ndo wale wale, mule mule,,,, usjidangany et bahat nzuri huna HIV!! rudi upime baada ya miez 3 kwa vpmo tofautitofauti ndo uje ujisifu,,,,, waache wenzio wasogeze maisha we endelea na wasio ridhiki kama wewe.
Mefanya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…