Nitakuwepo fiesta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitakuwepo fiesta

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Yo Yo, Oct 5, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nitakwenda kwenye fiesta...
  Nimefikiria ka kina sio kukurupuka nimeamua nitakuwepo kwenye viwanja vya lidaz kujirusha kwenye tamasha la fiesta....cant imagine nakwenda ona vile vitoto vibiichi na vijivazi vyao aiseee.....kwa watakaokuwepo nami pale tuwasiliane tufurahi pamoja mara nyingi nyingi napatikana kwenye kaunta za pembeni uku nikila deo vitoto vya kibongo dadadadeki.....
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ukitaka usipate usumbufu maana najua watoto wa mita ile nao lazima wajiachie kesho wamuone bo$$ anzia pale kwa octa....pale mishale ya saa nane nane hivi mchana unakula beer bariiiiiiiiiiiid uku ukitafakari na kuangalia lile jasho la bia linavyotiririrka aiseee.....

  lazima uanze na bariiiiiiidi kwa sana maana ile majioni utakuwa unakwenda na mwendo wa vugu vugu saaafi......mind you hutakiwi na kuwa na kicheche hapo hapo masela tu mwala gambe na zile story zenu za jk tupa kulee.....
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ukitaka ule raha hiyo kesho tafuta mhaya mmoja ule nae gambe.....hawa jamaa ukinywa nao mwanzo mwisho anakuambia ana ghorofa mbezi beach......
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sawa....dress code....?
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Yo Yo mi nilikuwa najua we mhaya.....
   
 6. e

  evvy Senior Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tshirt na jeanz!..chini all*
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  i like haya gals kinoma noma they are hot bana....ushawaona? black byuti hivi...BTW ndio maana nika jisogeza kwao kidogo...infakti nawaleba mpola mpola.....abaisiki bojo bashemelerwa sana tu....
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwenye mitoko kama hii u knw hakuna ustaarabu kwa saana kwa hiy lazima ujihami raba nyeusi ya kushika kweli kweli mguuni hata likitokea la kutokea uweze kutoka nduki.....jinsi simpo full black,..na tshirt lainiii nyeusi.....btw watoto wa mbwa watakuwepo kibao kama una ndinga achana nalo kwa leo arifu....

  shori kama wewe inabidi uwe under maximum protection ya kauzu kama mie
   
Loading...