Mkuu si ushatoka kwenye interview, nahitaji anetaka kwendaNimeulizwa kama najua kunena kwa lugha nijibu vipi?
Mkuu si ushatoka kwenye interview, nahitaji anetaka kwenda
Kama uneitwa kwenye interview, na hujawahi kufanya, naweza kukushauri jisni ya kujiandaa at least ujitoe hofuMkuu sijakuelewa,naomba ufafanuzi zaidi pengn madhumuni ya bandiko yanaweza kua na msaada
UlNimeulizwa kama najua kunena kwa lugha nijibu vipi?
Kakimbia simwoniUl
Ukimalizana na huyu jamaa basi jibu nitakuwa nimepata !!
Nipo hapa nawaangalia!!
Ataacha kukimbia ukiona hivyo jua K vant imekaribia kuisha!!Kakimbia simwoni
Ndugu nafikiri hujanielewa, ww ushajua swali unalotaka kwenda kuulizwa bs haina haja, u js google na umeze tuwhat is your attributions towards the company?
Ndugu nafikiri hujanielewa, ww ushajua swali unalotaka kwenda kuulizwa bs haina haja, u js google na umeze tu
We kweli pungasese sasa uzi wako nia yake nini?? Ujue wangapi wanaenda interview ? Au uulizwe nini
Ndugu nafikiri hujanielewa, ww ushajua swali unalotaka kwenda kuulizwa bs haina haja, u js google na umeze tu
Ni hivi, ukiitwa kwenye interview sehemu, unatakiwa 1.)ukisome kile ulichoomba in general.Sasa kipi unakijua wewe ambacho google hatuwezi kupata, acha ufal.a
Thanks umenisaidia. Nikifanikiwa utakunywa sodaNi hivi, ukiitwa kwenye interview sehemu, unatakiwa 1.)ukisome kile ulichoomba in general.
2.) Uisome kampuni husika pamoja na mission, vission zao, wapo tangu mwaka gani, uisome report yao ya karibuni ili ujue wapi waliposhindwa au wapi walipo fanikiwa- kama una muda
3. Unataliwa uzijue zile Duties zilizoandikwa kwenye maombi ya kazi- mara nyingi ukiulizwa utafanya nn basi jibu linatoka hapa au jtaulizwa direct
4. Ujue kwa nafasi uliomba report gani unaanda either kwa siku, wiki au mwezi ya kumtumia senior wako
That y nikaomba aliekua hajwahi kufanya interview hata mara moja aje tushauriane cjataka mwenye swali lake binafsi