Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,970
Nanukuu, "huwezi kuacha kumpenda mtu,NI MAWILI either utaendelea kumpenda au hukuwahi kumpenda"
Uzoefu binafsi unaonyesha hicho ulichokisema sio kweli. Kuna heart breaks
Nanukuu, "huwezi kuacha kumpenda mtu,NI MAWILI either utaendelea kumpenda au hukuwahi kumpenda"
pyeeeeeeMimi huwa siwaelewagi hawa watu wanaoitwa ma Ex.
Unaweza kuachana na mtu na kila mtu akawa na maisha yake labda Kaoa/Kaolewa, ila kutwa kucha kakuganda utafikiri alizaliwa na wewe.
Mtu Kama alikuwa anakupenda haimaanishi atakupenda milele, ama mlikuwa wapenzi basi mapenzi yataendelea hata mkiachana, upendo huisha.
Mtu anatoka huko atokako "oooh, wewe utabaki kuwa wangu tu milele, sikuachi sahau" na fujo kibao utafikiri mliandikiana mkataba wa maisha.
Ukiamua kuacha kitu kiache mazima sio unakiacha huku moyoni unakitaka bado. Hasa Wanaume umemuacha mtu umeenda huko au umeoa yamekubumia unarudi kusumbua watu na ubabe juu, visa mtindo mmoja kuwakosesha raha watu muache iyo tabia mnakera sana.
Hakuwa serious dada akasepaulimkimbia mwenzio hamkumalizana.
Inaonesha jamaa alikuwa anajiweka sawa kwanza, na dada alikuwa na altenatives nyingiHakuwa serious dada akasepa
Kumbe tayari, hongera!Nimeolewa Mkuu.
bonge la mesej some time