Nitakuoa

Nitakuoa

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,128
"i will marry you"
this is the bigest and common lie spoken by many men/boys to cheat women/girls.

"nitakuoa"
ni uongo unaozunguzwa sana na wanaume kuwahadaa wanawake.
WATCHOUT.
 
Naona umetutafsiria sie tusiojua "ung'eng'e". Hongera yako.
 
Since when "I'll marry you" phrase became a lie??
 
Kwahiyo wanaomaanisha watumie phrase gani instead ya hiyo???
 
By nature wanawake si watu wa kuambiwa ukweli. Naamanisha ile wazungu wanaita; 'nothing but the whole truth...help me God' lol...Hiyo sahau! Na ukithubutu basi umejikaanga na mafuta yako mwenyewe na umekwisha lol. Ni watu ambao hupenda kukaribisha mazingira ya kudanganywa. Na pia hupenda kusikiza mambo yanayo jaza mioyo yao hata kama mambo hayo ni hadithi za kusadikika tu na kuwa hayawezekani katika mazingira ya ki uasilia (ahadi hewa)....bado wataelekea hukohuko🙂
 
Hahahaaaa.Kuna kaka mmoja alijidai kumwambia dada mmoja nitakuoa.Walikuwa wana miaka miwili kwenye mahusiamo.Dada akaja na mimbinu yake na kumwambia kaka kuwa yeye ni mjamzito.Kaka bila haya alianza kujiuma meno na kusema nitajuaje kama hiyo mimba ni yangu na maneno mengii ambayo hayana kichwa wala miguu.Kumbe bi mdada alikuwa anampima tu ajue hivi likitokea jambo kama hilo jamaa atakubali kuwa responsible.Hahaaa bi mdada aliamua kuachana nae na kuona kuwa jamaa hana maana.anampenda tu akiwa mzima but yakitokea mengine hana time
 
Hahahaaaa.Kuna kaka mmoja alijidai kumwambia dada mmoja nitakuoa.Walikuwa wana miaka miwili kwenye mahusiamo.Dada akaja na mimbinu yake na kumwambia kaka kuwa yeye ni mjamzito.Kaka bila haya alianza kujiuma meno na kusema nitajuaje kama hiyo mimba ni yangu na maneno mengii ambayo hayana kichwa wala miguu.Kumbe bi mdada alikuwa anampima tu ajue hivi likitokea jambo kama hilo jamaa atakubali kuwa responsible.Hahaaa bi mdada aliamua kuachana nae na kuona kuwa jamaa hana maana.anampenda tu akiwa mzima but yakitokea mengine hana time

dada akikuambia anamimba wewe muulize tu kiroho safi ina muda gani halfu uone kama atasema kweli kama mpo wengi lazima ujue kama ni pekee yako utajua tu maana atachukia wanaume wote.. pole zake mkaka kwa kupoteza mama yeyoo to be wake..
 
Married Men aseets.
Unmarried one disaster headache,they are uneconomically stable.
Its better to say acha longolongo we sema una sh ngapi?
 
Many girls when they meet a man they are thinking about their tommorow together
so if he approach her with "I Will Marry You"A girl might feel that yes this is a man
I want to share my tommorow with

so some men not all use that word as a way to make gals fall into their trap and
fulfill their sexual desire.
 
Last edited by a moderator:
Nilikaa ktk mahusiano na BF wangu takliban miaka 3 hakuwai kuniambia hata siku moja eti 'ill marry u' na wala sikuhuliza ila ilipofika kipindi muafaka mwenyewe alisema I want to marry u, je uko tayari nilete posa? Jibu langu likawa 'yes' ndani ya wiki posa ikatolewa, ikaja mahali then ndoa na mpk sasa tuna mtoto mmoja life inakwenda.
 
na wewe umeona......,
huyu Zahra White anajitoa ufahamu kweli
sasa kama mrried man assets si aolewe

Bora mimi wangu ananiambia ukweli sitokuoa ila atakayekuoa ujue lazima kibali kitoke kwangu.
Sitaki nikuone unateseka wala kuudhika akuhandle kama mie navyokuhandle na ole wako si unipigie simu unalia atakoma.
Sometimes natamani abadilishe hiyo kauli na anioe
 
Last edited by a moderator:
Mie huwa sitamkagi hayo maneno kabisa,najua uzito wake...nikiulizwa jibu ni "too soon to talk about that".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom