Nitakukumbuka :: Wimbo mpya wa Diamond

Nimeona uzi mwingine wanadai kaimbiwa ex wake wa juzi

Nimewauliza aliutekodi lini na kamtaja wapi hawasemi maana D amekuwa na ma ex wengine pia.

Labda mtu atajibu hapa

Diamond ana nyimbo nyingi anarekodi vipindi tofauti hata za zamani bado anazo ajazitoa alisema yeye.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…