duuu nimepita leo hapo na kimotco ndio naingia iringa sio muda
Me nitakuwa hapo iringa kwanzia jumatatu hadi mwisho wa mwezi
duuu nimepita leo hapo na kimotco ndio naingia iringa sio muda
duu umenikosa nasepa j4
uko iringa?
Nitafute nipo hapa town.
Me nitakuwa hapo iringa kwanzia jumatatu hadi mwisho wa mwezi
nipogo huku ndio bt j4 naamsha zangu dom
kikao sehem gani tutaftane?
kesho ntakuwa mafinga then ntarud jion kama upo hapa town ntakushtua nikirud