Unawapa demo moja ya hatari then unawaambia hiki kilicho fanyika mkileta mzaha ndio kitakacho watokea in real lifeIla Usisahau kuwa Moyo umeumbwa kwa nyama.
Na utashangaa wao ndio watakuwa mandezi kwenye mapenzi.(natania).
Anyway, wewe wapeleke shule nzuri, wapate elimu na wawe na akili.
Hizo za mapenz zitajiseti tu.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app