MimiKijana
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 265
- 243
Siko hivyo udhaniavyo...endelea na biashara yako ya vyeti feki mkuu, unatafuta namna ya kuboresha kazi zako huna jipya
Asanteeeeeeeeeeee kwa ushauri, mkuu.wasiliana na necta ndio watakutapa majibu sahihi. vinginevyo kama uko mwajiri siriazi usaili utamjua nan ana kitu kichwami Na nano lhopulesi
Very good ideal.. Asanteeeeeeeeeeee.Kwann uhangaike kutafuta security marks. ?????
Chukua cheti cha mtu husika Fananisha na matokeo ambayo yapo published kwenye web ya necta. Kama yapo sawa icho chet ni OG
Poaaa
Forgery is illegal, utajitia matatani bure then familia yako iteseke..Wapi nitapata sehemu ya kughushi kwa hapa dar es salaam.
Nauhitaji na cheti cha o level
Forgery is illegal, utajitia matatani bure then familia yako iteseke..
Acha kabisa hilo wazo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm cheap is expensive mbona mda wa kusajiri mtiahani has private candidate bado hupoWapi nitapata sehemu ya kughushi kwa hapa dar es salaam.
Nauhitaji na cheti cha o level
Mmmmm cheap is expensive mbona mda wa kusajiri mtiahani has private candidate bado hupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mharifu anayefanya uharifu huo nduguMkuu muda wa kusoma kwa sasa sina kutokana na majukumu niliyo nayo.
Kama unamfahamu mtu ambaye anahusika na hiyo ishu nicheki PM