Nitajuaje kanipenda kiukweli?

Nitajuaje kanipenda kiukweli?

mmhhh hao watu kuwajua inabidi uwe na moyo mgumu kaa mwendawazimu wewe ridhika tuu na uliyenae
 
Anayekupenda hana masharti kwenye mahusiano yenu.
 
  • Thanks
Reactions: ora
Naomba kuuliza jamani mahana hawa wanawake nashindwa Ku waelewa hiv tabia ama matendo ya mwanamke anae kupenda kiukweli niyapi? na muongo ni yapi?
Mbona simple tu muombe PAPUCHI
 
Mkuu hatujazaliw na baba/mama m1 hatufanan we endelea kuumiz kichwa juu yetu wakat wanaokupenda unawapuuzia nakwenda kuumiza kichwa kwa mtu ambae nae aNae mtu anaemuwazia na kumuumiz kichwa.
 
akikujali katika hali zote kama alivosema jifanye umepoteza hela af uone kama atasaidi bill au atakupa strength
 
Back
Top Bottom